Alhamdulillah

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,014
Reaction score
684
Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga!

Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika!

M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao!

Aamin
 
dah hii inazidi kutia morari kwa unemployed ones kuwa tusikate tamaaa, since 2011 ni muda kitambo. Nami naapa sintokata tamaa nitapigana hadi mwisho wa uhai wangu. HONGERA SANA.
 
kumbuka mshahara wa kwanza kumtolea Mungu zaka na kumnunulia baba koti!!
 
Wazaz nshawazika kitambo! Inshaallh zaka nitatoa..asante

pole kwa wazazi...kama unaweza unaweza hata kuwatembelea (kuvisit walikopumzishwa) kupitia mshahara huo...kama unaamini katika hiko lkn
 
Wazaz nshawazika kitambo! Inshaallh zaka nitatoa..asante

Pole kwa kufiwa na wazazi,..ila zaka tafadhari usipeleke msikitini wala kanisani,..wape wenye uhitaji wa kweli i.e wajane,yatima and the like.
 
Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga!

Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika!

M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao!

Aamin

Mabrook, mwenyezi mungu akufungulie milango ya kheir akuepushie na kila shari....
 
Pole kwa kufiwa na wazazi,..ila zaka tafadhari usipeleke msikitini wala kanisani,..wape wenye uhitaji wa kweli i.e wajane,yatima and the like.

Asante kwa ushauri
 
جزاكم الله خير at korino
 
Mungu akujaalie yote yenye heri kazini kwako ikiwa na kuishi na wafanyakazi wenzio vyema.umenitia moyo sana
 
Namsukuru M.mungu kwa kunijaalia kupata kazi Serikali za Mitaa kuleee tanga!

Nmesota kias dah from 2011 ndio leo nabahatika!

M.mungu awajaalie wale wasipata nao wapate na wale waliopata Mungu awadumishe katika kazi zao!

Aamin
Ahsante kwa kushukuru,endelea kushukuru ,watendee haki kila mwenye kutaka huduma kupitia utumishi wako ktk ofisi za umma,piga vita rushwa kwa vitendo na usishiriki kwa lolote linalohusiana na ufisadi,Ukizingatia haya Mwenyezi mungu atakuongoza na kukuzidishia kila la kheri Daima!
 
Pole kwa kufiwa na wazazi,..ila zaka tafadhari usipeleke msikitini wala kanisani,..wape wenye uhitaji wa kweli i.e wajane,yatima and the like.

Yani umeongea point kubwa sana chali yangu...ningekuwa na pesa, ningekununulia bastola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…