MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,009
Di Maria ni habari nyingine yupo kundi moja na akina Ronaldo,Messi.......Sanchez ndio mchezaji gani vile ebu acheni utani labda naweza kumlinganisha Sanchez na yule dogo wa Manchester United Wilson.
Di Maria ni habari ya Mujini acheni utani na vipaji vya watu mtakuja kufa bure na roho mbaya zenu.
Watu wa arsenal bwana!!! wao kila mchezaji anaechezea timu yao huwa wanamuona ni bora kuliko wachezaji wa timu nyingine, hivi mnatumia vigezo gani kumlinganisha huyo sanchez na fundi Di maria???, kuna kipindi hao hao watu wa arsenal walianza kumlinganisha sanogo na welbeck, wakaja na van persie na giroud, wakaja na mpambano wa hazard na walcot.....ha ha ha ha ha ha! fans wa arsenal bwana!!!!
Kama kukimbia ndio mpira bolt angekuwa mchezaji bora duniani
kama mpira ni vyenga hakuna kama okocha ila mpira ni mchezo wa fact
Alexis ana magoli 8 na assist 4 ndani ya mechi 15
Di Maria ana nini ???
Hamna pa kutokea