Alexander Mnyeti kuburuzwa Mahakamani ni ushindi kwa wapenda haki Tanzania

Mtahangaika sana ila hakuna kitakachobadilika.

Na mjuwe live mnajiandalia kesho yenu ingine ya visasi.

Sababu utawala huo utabadilika na siyo kila atakayekuja atakuwa mshikiwa Remote kutoka Msoga Gang!

Mark my words!
Na muda ni Shahidi mzuri,sio kila amayekomolewa kwamba hana wanaouona huu ujimga unaoendelea.

Tena itakapowadia zamu yenu,itakuwa chungu sana.

Nimepita na sintamj8bu yeyote!
Mkuu ni kama umeandika ukiwa na hasira sana. Lkn kilichoandikwa ni tofauti na ulichochangia.
Mkono wa haki nao ni kisasi?
Au wewe ndio mwenye picha mbele ya hilo jarida?

Kwa kuwa umepita tu nami napita tu lakini usihukumu
 
Ubarikiwe sana kwa kutupatia comment iliyoshiba
 
Kuna mwingine alikua mkuu wa wilaya ya Tabora kaamliwa na mahakama amlipe 80m mhasibu wa Tuwasa kwa udhalilishaji
 
Kuna mwingine alikua mkuu wa wilaya ya Tabora kaamliwa na mahakama amlipe 80m mhasibu wa Tuwasa kwa udhalilishaji
Hao ndiyo tunao wasema kuwa wanapokuwa madarakani wanajiona miungu watu.
 
Sasa wacha aanze kuvuna alichopanda
Nchi hii ukitaka kuwa bilionea,ukipata uongozi fulani serikali tu basi mchezo
Kwisha
Mtu anaingia hana kitu lakini kipindi cha miaka 5 tu Ana miliki mabilion ya fedha,kwa biashara gani ulitofanya
Zaidi ya kukwapua mahela
Tatizo nchi hii kila mtu ni mpigaji tu

Ova
 
Sioni meno ya ile tume ya maadili ya viongozi maana huku mitaani watu wana fanya kufuru
 
Kwa walioumizwa na kukwazwa na hili kundi ni ushindi.

Hili kundi la kina Mnyeti, Makonda, Hapi, Musiba na Sabaya liliwafanya Watanzania kusononeka ndani ya nchi yao.

Kushitakiwa kwa hawa watu ni ushindi mkubwa kwa waliokoseshwa haki zao kipindi Chao.

Hakika Mungu yupo kazini muda wote.

Hili ni jambazi kama hayo mengine saa baya na makonda na alli hapi
Nimeishi Misungwi kwa huu msukule. Kila wakati unaongoza kwa bifu na wenzake hasa baraza la madiwani.
Huu msukule ni hatari kwa maendeleo na ustawi wa jamii nzima. Mara baada ya mwenda zake kusepa lilijaribu kuiba ardhi ya mama magufuli, mama akalalamika likastopishwa.
 
Mama Ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, kwa mujibu wa tamaduni za Chama Cha Mapinduzi lazima rais ahudumu vipindi viwili kwa maana ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi na Hilo limekua likifanyika! Na tumesikia kwamba hakuna atakaywchukua form kumpinga ifikapo 2025.

Naamini unaandika haya ukiwa kama mfuasi wa JPM ambaye alitokana na Chama Cha Mapinduzi!
Kwa maana hiyo wewe ni mfuasi wa Chama Cha Mapinduzi. Je unapingana na sera za Chama chako?

Unaposema ndio mwisho wake umamaanisha kuwa hatapigiwa Kura katika 2025 election? Na jinsi mnavyochukia upnzani je mtaupigia Kura upnzani? Na mnadhani mkisusa kumchagua ccm ilishasema haitegemei makaratasi, na rejea kwenye kauli ya bao la mkono na MNEC wa sasa!

Unachokisema itakua mwisho wake ni ndoto za mchana kweupe!
Mark my words.

Kama watu unaamini katika haki na hakuna mtu aliye juu ya Sheria na kama mahakama ni chombo pekee kinachotoa haki ni vyema kusubiri mahakama iamue kama watu hawa Wana hatua au la! And by the way Kuna watu mambo waliyafanya kwa Siri na kwa dhahiri! Ni Kazi ya mahakama kuamua Hilo!
Hayo masukuma gang hayana itikadi yoyote zaidi ya utekaji na mauaji ya kishamba kwa wapinzani wao!
 
Hili ni jambazi kama hayo mengine saa baya na makonda na alli hapi
Nimeishi Misungwi kwa huu msukule. Kila wakati unaongoza kwa bifu na wenzake hasa baraza la madiwani.
Huu msukule ni hatari kwa maendeleo na ustawi wa jamii nzima. Mara baada ya mwenda zake kusepa lilijaribu kuiba ardhi ya mama magufuli, mama akalalamika likastopishwa.
Kwa wakati tulionao sasa wataishi maisha magumu sana
 
Back
Top Bottom