mbona nasikia hata Martina Malira wa Tanzania Daima anapeleka kila andiko lake kwa Nape kabla hajaweka gazetini, ndio maana kwa sasa CHADEMA hawalitumii sana gazeti hilo maana hiyo habari wanayo siku nyingi. Taarifa za Dr Slaa zinapelekwa huko kwanza Nape azi edit ndio zitoke ndio maana mnaona siku hizi kama habari za viongozi hao zikitoka ni vurugu za kunukuliwa vibaya kwa kwenda mbele, je Ansbert Ngurumo analijua hilo na ataliweza?
Huyu Malira ndio yule mnakumbuka akiwa Tanzania Daima alikua anapewa machapisho na wakina Premi Kibanga na anayatoa kwenye Daima kama yalivyo, hakuna waandishi tuombe Mungu Seneta Kerry afanyie malalamiko ya watanzania kazi mapema Mwanahalisi lirudi, nashangaa serikali nzima kujiingiza kumlinda Zoka leo hii aibu kubwa na mungu asaidie viongozi wake wawekewe vikwanzo ndio mambo ya kukumbatiana yatakapokwisha.
Leo hii tazama wanavyohangaika na huyo Mulugo walikomtoa watajua wenyewe, Ramadhani Indogho hawezi ku survive, lazima atakumbwa na mob justice watu wanamnyamazia wakwemo very close wa kazini kwake lakini something is cooking, abadilishe ubini na watoto wake