Alex Msama atimua Mhariri mtendaji (Dira) fisadi

Alex Msama atimua Mhariri mtendaji (Dira) fisadi

Nani kakuzuia kuwa mwandshi ili uwahoji maswali unayotaka? uandishi unaruhusu kila mtu kuingia, maana ni haki ya kila raia kutoa na kupokea habari

Wewe kweli akili hamna, hapa tunaongelea mustakabali wa taifa. Kwani tunavyowaongelea viongozi wetu ni kila mtu anatakiwa kuwa kiongozi wa ngazi husika?? Nia ni kukuza wigo na watu kubadilika positively.

Jaribu kusikiliza waandishi wa BBC au CNN wakiuliza maswali ndio utaelewa nini maana ya taaluma ya wanahabari.
 
Naona wengi mnatoka mapovu tu hapa, lakini nikisema ambaye amenunua gazeti hili leo au wiki hii, wachangiaji wengi watayeyuka hapa. Wengi wetu tunasoma gazeti bure mtandanoni kwenye visimu vyetu au PC za maofisini, kisha tunadai eti wasomaji watapungua...Ndio maana hata wanaosema heldiline zimebadilika wanataja tu za mtandaoni, hakuna mnunuaji wa hardcopy....Mnachotakiwa kufahamu ni kwamba gazeti mbali na headlines zinazoonekana mtandaoni, limejaa mambo mengi, ambayo wasomaji makini bado wanalitafuta. Na kwa taarifa za kiutafiti, hakuna gazeti CCM wanaliogopa na tishio kwake kwa sasa kama Mwananchi. Waulize walioko ndani mmoja mmoja watakwambieni.
 
lisemwalo lipo kunawatu walitonya kuwa Kibanda si lolote mchumia tumbo tu ingawa mimi nilikuwa na muamini sana,baada ya makala ya kumsifia Kinana tu kuna watu wakasema anajiandaa kwenda kwa bashe wengine tulipinga ila nilistuka alhamic iliopita kukuta tuendako kwa RAI nilistuka nikanunua mmh mle ndani utumbo tupu,vp kuhusu kitabu chake cha kuandika uozo wa mh Samwel Sitta muulizeni atakitoa lini maana yake ameenda kwenye mpunga mwingi.
 
Back
Top Bottom