Alex ferguson amechanganyikiwa au Uzee?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alex ferguson amechanganyikiwa au Uzee??

Discussion in 'Sports' started by Bladerunner, Jan 9, 2009.

 1. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #1
  Jan 9, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wakuu hii mnaitafsiri vipi??je ni bargain au ndio wamechemsha??

  "MANCHESTER UNITED have made the transfer window’s most bizarre signing.
  They have signed Stoke defender Ritchie De Laet — who has NEVER played for the Potters.
  The Belgian, 20, joined Stoke from United’s feeder club Royal Antwerp in a £100,000 deal in August 2007.

  Potters boss Tony Pulis said: “They were aware of Ritchie. You can’t turn down the chance to go to a club like that.”
  Source:The sun
  09-01-2009..
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe unamjuwa vizuri huyo mchezaji? N una utaalamu kidogo wa soka? Mi naamini Ferduson hawezi kufanya mambo kiholela bila kuona potential ya mchezaji- na wau inabidi wapewe opportunity hivi, la sivyo watakuwa hao hao mpaka lini?
   
 3. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #3
  Jan 9, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Usiwe na wasiwasi na hilo. Fergie ameshaona kitu ndani ya bwana mdogo huyo ninaamini atamfunda.
   
 4. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #4
  Jan 9, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ila si unajua kuna fununu za jamaa kubwaga manyanga end of this season!!what if zikawa kweli??je ni kwamba anataka atakaemfata awe na mtihani wa kufuta record zake au??
   
 5. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #5
  Jan 9, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ritchie De Laet (born 28 November 1988 in Antwerp) Belgian footballer
  Position:Defender.( plays anywhere along the back 4).
  United Kingdom Football history:
  Man United:Jan 8 2009.
  Fee:will be paid upon performances with the club.
  Stoke City:17 August 2007 from Royal Antwerp(Belgian club)
  Initial fee £100,000, pending a three-year deal
  July 2008, joined Bournemouth on trial, and played his first game in a friendly against Portsmouth, a 4–1 defeat.
  October 2008:Wrexham on a 1 month loan deal,debut in a 2–0 victory over Lewes in the Conference National. He made a total of 3 appearances during his time at the club.
  Loan terminated in November as he needed hernia operation.

  Sasa mkuu nadhani utaridhika na Tathmini ya Wachambuzi mahiri wa soka Kuiita bizarre signing.kijana hana mechi hata moja kwenye premier league,ana uzoefu wa league 2 na conference football...Je ni wakati mzuri kumsajili wakati ligi imepamba moto??isitoshe hajacheza hata daraja la kwanza wakati alipokua belgium..hana hata xperience ya mikiki ya ligi..huyu alikua amchukue msimu ujao..sijui mkuu umenipata hapo??
   
 6. Manda

  Manda JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 2,075
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwanza karibuni Blade na Ntara huku kwenye kilinge chetu cha soka!

  Kama mlivyosema hapo juu, inawezekana huyo kijana asiwe na uzoefu/hajacheza mechi nyingi kivile sana. Mind you Blade, kama ni mfuatiliaji mzuri wasoka Manutd na timu zingine EPL si mara yao ya kwaza kusajili mchezaji ambaye mimi na wewe tunamjua+kupangwa kikosini. Rejea historia ya Giggs na Eboue walikotoea.
   
 7. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,279
  Likes Received: 4,271
  Trophy Points: 280
  Kuna wachezaji pamoja na kuwa na uzoefu lakini walichemsha mfano Veron,Kleberson
  Huyo dogo atapelekwa Youth au Reserve team at the moment ManU hawana upungufu wa beki
  Kulia-GNevile,Rafael
  Kushoto-Evra,Oshea
  Kati-Vidic,Rio,Evans na Brown anakaribia kurudi
   
Loading...