JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Ukiniletea zawadi tareh 15 tutakosana..
Ndio naongea na wewe.........
ha ha haaa, huyu rafiki BAK sijui kapotelea wapi? sijamsikia kabisa leo,MIMI LEO VALENTINE,JANA ILIKUWA VALENTINE,KESHO VALENTINE KESHO KUTWA VALENTINE
JUZI NA HATA SASA HIVI NI VALENTINE!
ngoja nikuwish na wewe dada mkubwa !HAPPY VALENTINE DAY TO YU AND RAFIKI YAKO! BAK where are yu utuburudishe tusherehekee mahaba yetu!
WALE WOOOTE WANAOSHEHEREKEA MAHABA KILA SIKU!cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeers!
binamu watoto twaenda nao church kila Jumapili siyo sikukuu tu......acha tu umenikumbusha mbali sana ukiona soda nyumbani aidha sikuku au kaja mgeni lol.
ukipikwa huo wali tu siku nzima unakuwa na adabu tele hata kwa jirani hakuendiki kucheza.
na hii ya kwenda kwenye ibada na watoto siku ya sikuu tu na nayo mbaya wanajua kusali ni mpaka sikuu tu lol.
ukiweka mfumo huo mzuri sana hakuna maisha ya kukariri,
MIMI LEO VALENTINE,JANA ILIKUWA VALENTINE,KESHO VALENTINE KESHO KUTWA VALENTINE
JUZI NA HATA SASA HIVI NI VALENTINE!
ngoja nikuwish na wewe dada mkubwa !HAPPY VALENTINE DAY TO YU AND RAFIKI YAKO! BAK where are yu utuburudishe tusherehekee mahaba yetu!
WALE WOOOTE WANAOSHEHEREKEA MAHABA KILA SIKU!cheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeers!
tulia baba usipapatikiwe na mapicha subiri live movie hahahahahahah Mamndenyi koma kabisa koma kabisa ukicheza utaliona ngorika mlangoni kwako tayari kwakukurudisha kwenu oh wote tumetumwa mjini kutafuta nini tena wa kwetu kuingiliaana huyo shemeji yako!!!!!!Asante umezidi wamoyo maana hata ajaniletea where she is nivea???
heheheheheheh una majungu hakika ,hujambo lakiniTahadhari kwa wapendanao Ukipokea banchi la maua,kadi kwa ajiri ya Valentine Day!kwakipindi cha jioni imekula kwako!!
Jihesabie wewe ni Masalia!Ujue kuna waliopata Asubuhi ya saa nne,Saa sita hadi saa saba mchana wakati wa lanchi sasa wewe unapewa Maua nakadi jioni jua limezama na siku iko robotatu!!Pole yako!!:A S 12:
tulia baba usipapatikiwe na mapicha subiri live movie hahahahahahah Mamndenyi koma kabisa koma kabisa ukicheza utaliona ngorika mlangoni kwako tayari kwakukurudisha kwenu oh wote tumetumwa mjini kutafuta nini tena wa kwetu kuingiliaana huyo shemeji yako!!!!!!
wanawake wa mjini kwa mabiti waweza jiua bure ati lol haya mwaya kizuri kula na mwenzio etiTukutane baada ya valentine please!!!
binamu watoto twaenda nao church kila Jumapili siyo sikukuu tu......