Alert!!Alert!!Valentine Day!!!!!!

...kwenye bold ndio akili zenyewe...

...."samaki mie ..maji yamejaa mdomoni..."

....maradhi ya wasiwasi mabaya kweli..ila ukijua mapema unajua chakufanya....

naomba nikupe pole!!!
Pole sana!!!
 
ha ha haaaaaaaaaaaa,
binamu, mi ndo maana sitaki special days kwa hayo mambo.......
nitakuletea maua siku yako ya kuzaliwa, sasa ombea au iwe siku ya wapendanao au huyo mwingine muwe mna-share birthday......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…