Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
Mkuu zinaitwa handel halleluya. Check kwenye youtube kama makulilo alivyosema hapo juu
Huu ni nuru kwa mataifa yote, naupenda sana ! unanirudisha kwenye mstari. Thanx na mimi nimeupata.Barikiwa
Huu wimbo wa Alleluya Kuu ulikua ni mmoja wa nyimbo za Harusi yangu kanisani..May 1st, 2010. Wimbo wa Alleluya Kuu unafahamika kama hallelujah chorus, na Mtunzi wake ni George Frideric Handel. Hivyo uki-search kwa jina la Halleluya Chorus au Halleluya Handel utaupata, na utaona ni link ipi inaweza kucheza hapo ulipo.
PASAKA NJEMA
MAKULILO