Alcoholism addiction

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
114
41
Wadau habarini, ninaomba msaada wa mawasiliano au ushauri wa vituo hivi vya sober house pale kigamboni, au msaada zaidi. Nina ndugu yangu ni mlevi kupindukia mpaka anataka kuwa kama chizi, imefikia hatua hajitambui ni ugonjwa. Tulifikiri kuhusu sober house, tulimpeleka sober house pale tabata kwa miezi 4 bila mafanikio, hawapo vizuri sana na treatment zao na ushauri nasaha pia. Please mwenye info yeyote do the needful.
 
Back
Top Bottom