ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,490
Atabaki kileleni[emoji23][emoji23]
Atabaki kileleni[emoji23][emoji23]
Unaangalia huwa ukipiga bia ngapi unalewa, kwa mfano biere nyingi ni kati ya 4-7 alc, kwa hiyo kama ni safari unapiga kumi, maana yake alcohol inayokutosha ni alc ya safari moja mara idadi ya biere unazokunywa, unakokotoa hapo then unajipigia vidonge vya 50 alc, safi kabisaVipi mtu aki over dose ya hivyo vidonge, kujipimia alcohol sio issue ndogo au pengine unakunywa kidonge kimoja unasikilizia, unakunywa kingine unasikilizia hadi pale size yako tosha.
Raha inaanzia kooni au siyo?Haiwezi fikia raha ya kunywa pombe!!
Inawezekana mkuu, ni sawa na jinsi maji yenye chumvi yanavyowezwa kuchemshwa mpaka chumvi ikabaki! Ni chemical processes ambazo zinawezekanaVodka ilikaushwa katika majaribio ya kutengeneza hizo pills!
Hivi mvuke unaweza ukukaushwa ku-uply unga unga, hili limekaaje wataalamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila sasa tunatakiwa tutembee na vikokotozi kabla hujaanza kunywa unakokotoa kwanza, mana huchelewi kunywa pills za bia kumi na mbili ukaanza kutambaa.Unaangalia huwa ukipiga bia ngapi unalewa, kwa mfano biere nyingi ni kati ya 4-7 alc, kwa hiyo kama ni safari unapiga kumi, maana yake alcohol inayokutosha ni alc ya safari moja mara idadi ya biere unazokunywa, unakokotoa hapo then unajipigia vidonge vya 50 alc, safi kabisa
Bora hata utambae mkuu, unaangusha gari kabisa!Sawa mkuu ila sasa tunatakiwa tutembee na vikokotozi kabla hujaanza kunywa unakokotoa kwanza, mana huchelewi kunywa pills za bia kumi na mbili ukaanza kutambaa.