Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Tuko kwa home jamani mkuje tu si mnaona hali ya hewa![]()
pombe watu wawil meza inapwaya..niongezeke mim na jj hapo
Tuko kwa home jamani mkuje tu si mnaona hali ya hewa![]()
pombe watu wawil meza inapwaya..niongezeke mim na jj hapo
Mmmmh bas hatujTuko kwa home jamani mkuje tu si mnaona hali ya hewa
Hiyo kitu upate baridi uwe unashushia na nyama,ni shidaaa
Shemej unaguna nini? Siku hizi nakunywa yoyote ile kuanzia Konyagi mpka mwisho. Naona hivi vibia ni uharibufu wa rasilrasilimaliKhaaaaa
Shemej uko wapi nikupitie tukapashe kidogoMate yananitoka
Mmmmh bas hatuj





kwanini sasa usiogope mkije tu kuna vyumba vya wageniMie nnazo ila sio za baridi.Haki na mie mate yamejaa na kwenye gari zimeisha
Hahaha tupoo...yan tutapambana nao mpak mwisho
Mh shemeji vyuma kwako huwa havikazi ni nini lakiniShemej unaguna nini? Siku hizi nakunywa yoyote ile kuanzia Konyagi mpka mwisho. Naona hivi vibia ni uharibufu wa rasilrasilimali
AiseeHiyo kitu upate baridi uwe unashushia na nyama,ni shidaaa
wacha nikaitafute kwanzaSasa sis shughuli tunaanziaga sebulen...mavurugu hayo hamtolalakwanini sasa usiogope mkije tu kuna vyumba vya wageni

Mtuweke chumba cha nje,maana hatari ya hazard hamtalala umo ndani mwenukwanini sasa usiogope mkije tu kuna vyumba vya wageni
Mtufungulie uzi wetu walokoleHahaha tupoo...yan tutapambana nao mpak mwisho
Sasa sis shughuli tunaanziaga sebulen...mavurugu hayo hamtolala![]()
![]()
Jamani vyumba vya nje hakuna msije jamani msije mkasababisha majirani watokeMtuweke chumba cha nje,maana hatari ya hazard hamtalala umo ndani mwenu
Jamani vyumba vya nje hakuna msije jamani msije mkasababisha majirani watoke
hatuji