wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Kuna wahudumu wazuri sana hapo. Na chakula chao kizuri sana. Makange ya samaki safi kabisaJana nilikuwa defranceView attachment 737026
Kuna wahudumu wazuri sana hapo. Na chakula chao kizuri sana. Makange ya samaki safi kabisaJana nilikuwa defranceView attachment 737026
Tabu baadae mkuu, ila unalewa kwanza mizuka inapanda uwezo wa kufikiri unakua mkubwa pombe tamu mkuu ila Safari lager mikono juu, mimi na k vant banahhahaha ss tabu zote hizo za nn!!
hahaha hongera aseeeTabu baadae mkuu, ila unalewa kwanza mizuka inapanda uwezo wa kufikiri unakua mkubwa pombe tamu mkuu ila Safari lager mikono juu, mimi na k vant banah
Yani ni tahira mwanaume hunywi pombe??kuna jamaa moja humu jf aliwahi kusema mwanaume ambaye hanywi pombe hana akili,yapi maoni yenu wadau wa vilaji

Eeeh patamu hapaTunatoa loki..tuanze tena kuzichapaaView attachment 737974