Mkuu hapo 40 40 washenzi tu hawana parking afu sehemu yenyewe mbaya mashimo kila mahali wenye gari za chini tunapata shida sana. Nshaumiza Gari yangu sipataki tenaaaa hata unitie ofaa sijiiii
Chimbo langu hilo zamani. Aiseee kumekucha ngoja nikoge then nitafte supu ya kitimoto then nianze mambo maana game ya Man City na Man U hutakiwi kuiangalia ukiwa peke yako kichwani.