ALCATEL:Jinsi ya sim card unlock

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
nina simu yangu alcatel lakini imefungwa kwa laini ya TIGO naombeni msaada niweze kutumia laini zote.
asanten
 
Taja model ya simu yako. Je, ukiweka laini tofauti na tigo inaomba unlock code?
nina simu yangu alcatel lakini imefungwa kwa laini ya TIGO naombeni msaada niweze kutumia laini zote.
asanten
 
Back
Top Bottom