Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,107
habari za asubuhi na blue monday wapendwa wanajamvi?
Hope mpo fine. ni hivi mwenzenu yamenikuta na simu tajwa hapo juu ya I9100. jana alasiri ilianza kwa kutoa sauti kama nimeconnect charger ikiwa on (beeping sound sound) na ikawa inafanya hivyo continuously. nikaiscan na kuirestart.
mida ya jioni simu ilikata chaji so nikaconnect kwenye chaja yake. maajabu ikawa inatoa warning sign (alama ya njano ya mshangao pembeni ya icon ya betri na pia alama ya thermometer)!
Hapo ni kuwa simu nilikuwa naichaji while ipo off so it was kind of absurd. nikaichomoa charger kwa muda na baadae nikairudishia ikakubali ila tena baada ya muda ile alama ya thermometer ikarudi. nikatoa tena chaja na kurudishia. hapo hadi simu ilijaa vizuri. kuwasha baada ya muda ikaanza tena kutoa ile alerting sound kana kwamba nimechomeka simu kwenye charger while simu haikuwa kwenye chaja.
Kwa jana simu niliizima. Sasa leo naamka nakuta simu imejiwasha. ikawa kila nikiicommand izime, baada ya muda yajiwasha na pia nikiiwasha inaendelea na na ile alert sound continuously. nikiizima inakuwa inaonesha icon ya battery kama ipo charging pamoja na icon ya thermometer na yellow warning sign wakati simu haipo kwenye charger.
lastly niliondoa betri na kurudishia basi yenyewe kabla hata ya kuwasha ikatoa alama njano ya betri na mkato. yaani hadi nimechelewa kujiandaa kwenda kazini kisa hii simu.
wakuu, simu yangu itakuwa imekumbwa na tatizo gani? je ni nini suluhu yake?