Album yangu

Jamaan [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm kuna siku nilipigwa ulipita mdundiko nisiondoke nao kulud sa 1 usiku kipigo nilichopigwa sitasahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahahaha nilichapwa sanaa enzi izo kwa ajili ya hii michezo utoto rahaa.
 
mshana jr tafadhali sema ukweli wako.....hivi wewe hujawahi kupata kichocho utotoni kuogelea kwenye madimbwi ya kwenu Tandale kwa Mtogole kweli?
 
mshana jr tafadhali sema ukweli wako.....hivi wewe hujawahi kupata kichocho utotoni kuogelea kwenye madimbwi ya kwenu Tandale kwa Mtogole kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka mimi nimekulia Sitimbi kijijini kabisa ambako kichocho huko ni hekaya za kufikirika
Na makazi yangu ukubwani ni huku Msata , huko bongo Tandale kwa Mtogole naendaga kikazi tuu
 
Miss gololi zilianza zamani sana? maana kama ulizicheza basi sii za leo....na tikiri ni ile inachorwa ardhini jumla ya vyumba 8?
Gololi ya mda sana.. tikiri ndiyo hiyo mwishoni tunafumba macho tuanasema mamraiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…