Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,621
Album imetoka leo tayari ikiwa na nyimbo 20 inapatikana kwenye platform zote, album ni kali sana.
Mnasifia upuuzi mtu kashajifiaWakuu naomba muisake album mpya ya Harmonize-High school ni moto wa kuotea mbali,,, hakika this guy is talented
Album nzima majungu tuuMnasifia upuuzi mtu kashajifia
Alafu sasa anategemea afike international level?Album nzima majungu tuu
Hivi y jina la album halisadifu yaliyomo kwenye album...? asa unakuta jina. la album ‘High school’
then song tofauti
au hii imekaaje kaaje???