Uchambuzi wa album ya “Khaled Khaled” ya DJ Khaled

barcelonista

Senior Member
Apr 26, 2021
158
146
Dj Khaled kwa sasa anafanya vizuri sana na Album yake mpya ya Khaled Khaled baada ya ile Father of Asad kufanya vizuri pia..



Machache tu Nliyoyaona kwenye ile Album..


Ni Mimi tu nilieona Jay Z kafunikwa na Nas kwenye Sorry Not Sorry au kuna mwingine kaona?


Album yote moto nani kamuona yule Dada wakuitwa H.E.R bonge moja la msanii...


Kaumiza sana mule kwenye I CAN HAVE IT ALL...Akiwa na Byrson Tiller pamoja na Meek Mill...Bonge La ngoma...


Au ile Na Migos WE GOING CRAZY yenye vibe la Regge...kwenye hiyo hiyo Album...Amesound kama Rihanna...


Nilismikia H.E.R kwenye Smile ya Wizkidayo aliumiza sana..Ni hatari yule Mdada...


Umeona yapi kwenye Album ya Dj Khaled? Je umeipa sikio...


#Forgive Me...

images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom