Album ya Aggrey Mwanri inatoka lini!!!

Album ya Aggrey Mwanri inatoka lini!!!

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,533
Reaction score
3,176
Huyu ni msanii mkali sana tena akimshirikisha mtu kama Davido au Mond album yake itauzwa kama njugu hana haja tena ya kuwa RC

Eee chikichi chikichi , Eee chikichi chikichi

Sukuma ndani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanri ni bonge la msanii sio lazima awashrikishe hao, nakumbuka kuna wimbo wake aliutoa 2009 jamaa aliua knoma yn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom