Iliwahi kutamkwa hivi:Hahahaha vingine vinachekesha unajua kumtafutia mtu sababu huwa inakuwa kazi sana hadi kufikia mahali ambapo hata haiingii akiliani
Nakumbuka hata Jenerali Ulimwengu waliwahi kumfanyia hivyo
Husein Bashe nae alifanyiwa hivyo.
Zote hizi ni mfa maji huwa haachi kutapatapa,
U
Hivi uraia wa mtanzania unaanzia wapi hasa?ikiwa mtu kazaliwa hapa kakulia hapa na kasoma na bado kazi anafanya hapa, tangu nimemfahamu Beto sijawahi sikia anaye hata baba mkubwa nje ya nchi.
Kama ni sababu tumtafutie zingine.
……Mabishano ya hoja yanaendelea kati yamawakili wa Chadema vs Msando, Lissu anaomba kwa interest ya public sasa kiswahili kitumike
Msando amepanic sana, Lissu aliomba kiswahili kitumike kwa public interest.Msando alipoulizwa akaanza kuongea. Jaji akamuuliza nimekuruhusu?Watu wakashangilia
Msando kapoteza umakini kutokana na jaji kuamua kutumia kiswahili na yeye kinamsumbua, watu wameshangilia
Raia wa Tanzania asie kua mzalendo ni sawa na mhamiaji haramu! May be Uhamiaji wako sahihi katika hili ...
Iliwahi kutamkwa hivi:
Wakili msomi mtanzania, hapa anayo hoja ya kujibu!
Iliwahi kutamkwa hivi:
Wakili msomi mtanzania, hapa anayo hoja ya kujibu!
Mimi sijashitaki!!
Kazaliwa mabogini, kakulia mabogini..!! au mabogini sio tz..? And why they didnt rise this wakati akitafuta passport..!! caz im sure ana passport ya tanzania..!! dah wadanganyika kwa kupika porojo...hatarii
yawezekana kweli kazaliwa tz na kasoma tz. je wazazi wake walikuwepo tz siku inapata uhuru? kama walikuwepo basi halina shaka yeye ni mtz lakini kama wazazi wake hawakuwepo ndani ya ardhi ya tz wakati wa uhuru na hawakuwahi kuomba uraia basi SIYO RAIA WA TANZANIA. Kuzaliwa na kusoma tz haikufanyi wewe kuwa mtanzania
Mimi nadhani wanachunguza uhalali wa uraia wake sasa yeye ndio adhibitishe hayo kama kweli ni raia just simple like that, kuwa na passport, birth certificate au document nyingine bado haitoshi pasipo shaka kuthibitisha uhalali wa uraia wa mtu sababu kuna wanaigeria wengi tu wana birth certificate na passport za nchi nyingine, naamini Msando ni mtanzania sasa yeye cha kufanya ni kuthibitisha tu hilo kwa mamlaka husika.
haya makitu ya hwa jamaaa hata huwa siyafuatiliiiiii .................................umeleta hii kitu so what.......................................?,wakili huyu maarufu ameshutumiwa kuwa sio raia wa tanzania.wazazi na ndugu zake wahojiwa kuhusu suala hilo.
=======updates =======
Alipataje sifa za kujiunga na CHADEMA ilhali sio raia wa Tanzania? Kumbe CHADEMA hawako makini kabisa.
Iliwahi kutamkwa hivi:
Wakili msomi mtanzania, hapa anayo hoja ya kujibu!