Albert Msando: Sijazungumza na Zitto toka nimehama ACT wala sikumpa taarifa

Albert akila vyombo vyake ndio utajua tofauti yake na Gigy ni jinsia tu ila swahiba ni zaidi ya kiazi mbatata anawezaje kusema hamjui mama Kubwa mtaalamu wa Papa ni vema akavunga tu aanze kula keki ya Taifa kwa sasa bila bugudha
 
Unapogusa tu chama cha machizi..automatic nawe unachizika...wakili msomi anasingizia pombe ku justify guilty...judge gani husikiliza utetezi kama huu ...ooh mh nilifanya hivi kwa vile nililewa ..?..shame on him!!
kama wakili anapiga pombe kiasi anashindwa kujitambua isije mkuta mahakamani anabisha yale aliyo sema ikawa pombe ndo zimehusika
 
Huyu jamaa akili hana anatumia makaliokuwaza na usomi wake wananchi wanalala njaa na vijana hawana ajira anasema kuna kazi imefanyika hahaha
 
Huwezi kusingizia pombe inapohusu ngono...!
Mkuu kwani shida hiko wapi mbona hakumbaka au aGigy hakulalamika kufanyiwa udhalilishaji au kunyanyaswa kijinsia?
Kama sababu ya nyidhifa zake ktk jamii aliomba rdhi na kuwajibika kwa kujiuzuru nafasi yake ktk chama.
 
Ndiyo wapo! Mawakili wote kwa maana ya wote waliopo ccm hawana usomi wowote zaidi ya kujipendekeza ili wapate madaraka! Msando na katambi ni reference nzuri sana! Eti wakili msomi ambaye hana chapisho lolote la kisheria linalotumika kufundishia na hana historia ya kushinda kesi za maana!
mkuu mbona ameshinda kesi yao anaowatetea mwana FA na AY dhidi ya tigo
 
Wakili msomi asiyejua kutongoza hadi anavamia makahaba kina Giggy
 
Yaani amjue wema sepetu halafu asimjue Giggy? Haiwezekani ulijue pipa halafu mfuniko wake usiujue!! Haiwezekanni
 
Mwisho tutabaki wapinzani wa kweli wenye nia ya zati, tutaendelea kuikosoa serikali na kuielekeza pale wanapoenda mlama. Tutakuwa wapinzani Wa kweli kama Raila Omoro Oging'a Odinga
 
Back
Top Bottom