Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Uwazi wa hili jambo ndio linakera wahafidhina!!!!!
Wanataka umma usikie ya upande mmoja tu!!!!!
Asante Msando kwa kuweka kila kitu hadharani na usichoke kila linalojiri weka hewani ili kama haki ikichukua mkondo wake basi asiwepo wa kulaumiwa au kulaumu!!!!!!
Hao wanasheria wenzio wanaojidai kulaumu hapa achana nao kama wana nia ya kweli wangejitokeza kabla hata kushauri tu lakini umeanza wao wanapaka rangi sasa,ni waoga na wasio na uthubutu kama nao sio wahafidhina!!!!!!
Udiwani nini bana; hili la kutishiana kuvuana madaraka kwa kila jambo ndio linafuga wanafiki hapo chamani sababu kwa hili kila mtu atafunga mdomo sababu ukisema wanakuvua madaraka. Kuna vichaka vitatu sasa "vikao halali", "utaratibu wa chama" na "kinyume na wadhifa wake" humu ndio mtikisiko wa chama ulipo!!!!
yaani bora yake huyu ambaye ameuliza kutaka kujua,
yupo mmoja eti nae anadai ni memba wa CDM tena mkereketwa halafu hajui maana ya neno KUVUVIWA eti anakosoa kabisa andika vizuri kuvuviwa ndo kitu gani sasa.........
siasa za bongo mashabiki vichwa maji viongozi wao vichwa nazi
mhhhh, kweli watu mna tabu sana.
yaani yeye 'kusema' kwamba hajui maana ya neno kuvuviwa which I suspect hata wewe pia hujui maana yake, ushafanya ndio mada yenyewe? I think you are better than this and strongly believe so!
kazi ipo aisee

Vichaka vitatu!!
Yaani what is going on chadema,vurugu zitawakimbiza watu chamani this is the world of civilisation
Hahaha ha.Hapana ....Let us call spade a spade!
Stop being over jubilant brother.Do you agree with him?Je wewe unakubaliana na hizo rhetorics kama Mwanachama wa CHADEMA?Be honest to ypurself!
Vichaka vitatu!!
Nilipoisoma taarifa ya Albert Msando, mwanasheria wa Zitto Kabwe kwa vyombo vya habari nilianza kuwa na mashaka na uanasheria wake, au labda kafanya makusudi ili kutimiza malengo ya mwajiri wake!
Kwanza kasema kwamba Zitto hahusiki kwenye waraka waliotuhumiwa nao, ukiusoma kwa makini waraka huo, haikuingii akilini kwamba kweli Zitto hakuujua, watu wanapanga wafanye vikao siri ikibidi hata nje ya nchi na Mhusika Mkuu (MM) kama anavyotambuliwa na waraka asijue? Nonsense! Pia inavyoonyesha waraka ule ulikuwa na mzunguko wa watu wengi hata nje ya chama, na inaoneka CCM ya akina Mwigulu na wenzake ndio wafadhili wakuu wa waraka huo. Nilibahatika kusoma majadiliano ya email za kati ya Mwigulu na Nchimbi, kwanza wakipongezana kwa kuuteka mjadala wa katiba mpya na kuingia kwenye malengo ya CCM kwa asilimia kubwa na pili Mwigulu akimsisitiza Nchimbi afanye linalowezekana kifedha ktk mpango wa Zitto kuwa Mwenyekiti. Na anasema Zitto hakuarifiwa makosa yake na ailiyakuta kwenye kikao, Zitto alisafiri wakati wa kikao.

Endelea kufanya kazi ya Lumumba ya kutukana chama na Viongozi wake!