Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
CHADEMA watamkumbuka sana ZITTO.

Sipendi kuingia kichwa kichwa linapokuja siasa za Kitanzania,Hapa niseme tu sababu hasa ya Zitto Kufukuzwa si hii ambayo tumeaminishwa kwenye vyombo vya habari,kuna sababu nzito nyuma ya maamuzi haya,ni suala la kuwahiana tu hapa.
Watu Kama Hawa Ndio Wanatukatisha Tamaa Kusomesha Watoto, We Kasoma Mpaka Kapewa Chet Cha Uwakili Arafu Uelewa Wake Ndio Huu! Aisee Hii Ni Hatari.
swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza zitto?
Albert Msando ni mweupe sana na mchanga sana kisiasa na upande wa kisheria. Yeye ndio kamfikisha zitto hapo alipo kwa kujifanya anajua kila kitu kumbe mbeleni ni giza.
Kama ni hazina CCM wamchukue haraka sana. Tena wampe uenyekiti wa chama chao.CHADEMA watamkumbuka sana ZITTO.
katiba ya chadema ndiyo yenye mandate ya kumfukuza zitto
Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
1. Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.
Chanzo: Clouds TV
The Invincible inaelekea umri ulionao na akili yako havina uwiano hata kwa 1/32 jitambue....Wasikuambie chochote wewe nani? Punguani wahed.
Mimi sio Mwanasheria but nashindwa kuelewa Katiba inasema atavuliwa au atafukuzwa huko kuvuliwa au kufukuzwa kunakuja automatic? Katiba inasema hivyo Je ni Lissu ndo Mwenye mamlaka hayo ya Kumvua au Kumfuta uanachama?
CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama.
swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza zitto?
Hiyo katiba ya chadema ilikuwepo tangia kipindi hicho Zitto akiwa kiongozi namhicho kipengele kinachosema mwanachama akienda mahakamani afukuzwe. sasa hapo cha ajabu mini?
Naona mkuu unajifanya CHADEMA unaifahamu sana kuliko mimi.......nauku hata kadi ya chama huenda hauna....Yaan watoto wa vigogo wa ccm, kipind hik hawana raha kbs, pole xna hiyo ndiyo CHADEMA, kila linalopangwa na ccm linaumbuka?