Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe


Mkuu hakika umesema ukweli mtupu.
 
Katiba ya Chadema kiboko. Kwa mbowe na Lema inawekwa kando. Kwa Zitto inatumika
 
Mungu ni waajabu sana ametua IQ tofauti za kuelewa ila ina maana yake
 
Hiki kipengele kimekaa kidikteta sana.Hii katiba haina tofauti na katiba pendekezwa ya CCM,inayotaka raisi asishitakiwe hata akitoka madarakani.


Katiba ni makubaliano/maridhiano/jinsi ya kujiongoza au kujisimamaia katika utekelezaji wa mambo flani mtakayokuwa mmekubaliana kufuatwa na kila mmoja wenu.Katiba ya Chadema haikufanyika na mtu mmoja ,kama yapo makosa katika baadhi ya vifungu vyake yatawasilishwa kwa mujibu wa utaratibu lakini kwa sasa kifungu kinasema hivyo.

Tafadhali sana usiifananishe katiba ya Chadema na hii (rasimu ya ccm)kama ulivyoainisha kwa sababu zote kwa macho ya nje ni katiba lakini nyengine haikufuata utaratibu uliokusudiwa.
 

Kwa sheria za bunge mbunge akishavuliwa uanachama anapoteza mandate ya kuwa mbunge mara moja, kwa kuwa alipata ubunge kwa tiketi ya chama.
 

Kwa hiyo katiba ya chadema inatumika kwa zitto tu, kwa Mbowe haitumiki
 
akili yako ni pana sana, ni wachache sana wanaweza kuelewa kama ww, huwezi jiita mwanademocrasia wakati katiba yako inaziba watu midomo wasipige kelele unapowakanyaga.

Kweli kabisa mkuu,kama demokrasia ipo kuna haja gani ya kuzibana midomo?.
 
Chadema hawaipendi mahakama,hawaamini katika HAKI (Mahakama) na kama mwanachama ataenda mahakamani basi atafukuzwa.Halafu wanakiita chama cha demokrasia.Lakini utashangaa viongozi wake kama Dr Slaa wakizusha uongo na ukihoji uhalali wake wanakuambia "NENDA MAHAKAMANI" Inahitaji ulimbukeni na akili ya mwendawazimu kuwaelewa hawa jamaa.
 
Which came first the escrow scandal or Zitto's removal from the party?. I think Mr. Msando is trying to insinuate indirectly the negative involvement of Chadema in the scandal, which I find to be very pathetic.
 
Kuna structure katika chama Zitto alitakiwa kuzifata hili kudai haki yake.Kama alikuwa haziamini kwa nini aliendelea kuwa mwanachama wa Chadema.Ndo maana ata kwenye Katiba za vyama vya mchezo kama mpira,mtu akakimbilia mahakamani kuna adhabu Kali ya kufungiwa kutojihusisha na mchezo husika.Kwani katiba zao zimehainisha procedure za kufuata once hujaridhika na kitu na sio mahakamani.The same applies to Chadema.
 
Hiki kipengele kimekaa kidikteta sana.Hii katiba haina tofauti na katiba pendekezwa ya CCM,inayotaka raisi asishitakiwe hata akitoka madarakani.

Nakuunga mkono

Ni kipengele kinacho mnyima mwana CHADEMA haki yake ya msingi ya kukimbilia Mahakamani

Ni kipengele cha "kishetani"
 
Katiba ya Chadema kiboko. Kwa mbowe na Lema inawekwa kando. Kwa Zitto inatumika

Hivi katiba ya CCM ndo inasema ukijua kutukana na ukiwa fisadi unapandishwa cheo eti! basi chadema hakuna aliye juu ya katiba mchukueni huko kama amewauma na mnamuina kuwa ni jembe.
 
ni kwa kiasi gani katiba ya chadema imefuatwa kwenye kila maamuzi ya utendaji ndani ya chama?

Nadhani hilo ndilo lilikuwa swali liliohitaji mahakama iamue, na mahakama imeamua kulitupilia mbali na kuruhusu CHADEMA waendelee kupiga rungu msaliti
 
Mbona hoja zake ni kama za kisiasa vile, wakati nilitegemea za kisheria? Ni wakili au msemaji wa ZZK?
 
Madai ya msingi ya Zitto ni kupatiwa muktasari wa kikao kilichomvua nyadhifa zake ndani ya chama, na wakati anasubiria muktasari huo ili ajipange kukata rufaa aliomba mahakama itoe zuio kwa chama kujadili uanachama wake mpaka pale atakapokata rufaa kupinga kuvuliwa nyadhifa zake. Kwa kuwa kupewa muktasari wa kikao ni haki ya msingi ya Zitto, kwa kuwa kukata rufaa ndani ya chama cha kidemokrasia ni haki ya msingi ya mwanachama, na kwa kuwa huwezi kukata rufaa au kulalamikia uamuzi mpaka pale ukatapoelezwa tuhuma rasmi kupitia muktasari. Hapa ndipo kwenye swali la msingi: Kwanini chama hakitaki kumpa huo muktasari wa kikao ambao unaeleza tuhuma zake kinagaubaga? Nini dhumuni la kutompa huo muktasari? Je chama cha kidemokrasia kinahitaji kweli mwananchama wake kwenda mahakamani kuomba muktasari wa kikao cha kikatiba ndani ya chama?
 
Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!

Yaani zaid ya ufake mkuu!!
 
Huyo mwanasheria mbona ana akili ndogo sana??

Ndio shida ya wanasheria njaa , kakurupuka na ujinga wake huko katoa point za kijinga hapo na maswali ya kijinga ambayo hayana maana yoyote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…