Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Hivi mnaodai zzk amefukuzwa chadema kwa nini msimuulize mwenyewe kwamba alikuwa hajui katiba ya chama ama vp? au katiba ifanye kazi kwa baadhi ya watu?
 
Nyinyi mbona vipengele vya katiba mnachagua? Alichokikanyaga mbowe mbona hakuna mwenye guts za kusimama na kumsema? au mnachagua nani wa kubanwa na katiba,acheni unafiki kama ni katiba basi imbane kila anayeivunja.
 
KISANDO-Huyu ndo mwanasheria wa Mh. Mbowe kesi ya Hai, Uwe unaelewa kwanza. Nyee wengine mnaangalia upepo bila hata kujua
Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!
 
hatuwezi kumkumbuka kwa lolote lile mbona serikali za mitaa tumefanya vizuri bila yeye?
 
Chadema imeinuka kipindi cha huyo huyo zitto na Slaa kipind yuko bungeni.......hili linaonekana dogo ila litawacost sana me binafsi nilikuwa naikubali sana Chadema hata kwa usaliti wanaosema ameufanya sidhani kama kilichofanyika kitakijenga chama ukilinganisha kama wangeendelea kumuacha huku akiwa katika uangalizi wa kila mipango anayoendelea kuifanya....
Hapa kinachoonekana ni mgongano wa maslahi wasituambie chochote.
 
Clouds tv, hiv ukiwa na akil timamu unaweza ukaangalia hiyo tv kwel na pumba wanazo ongeaga?
 

Wasikuambie chochote wewe nani? Punguani wahed.
 
wanafiki sasa wanalalamika nini Zitto aende ACT akajenge chama cha wasaliti wenzake CHADEMA tumeshamfukuza Zitto watu wengi hasa humu JF wana uelewa mdogo wanailaumu CHADEMA kufukuza Zitto wakati Zitto amejifukuza mwenyewe kwa kwenda mahakamani wanaona Zitto ameonewa waende mahakamani tena kukataa rufaa.
 

Kama kweli chimbuko ni Usaliti au treason (the action of betraying CDM)basi hoja za Albert hazina mashiko hata kidogo. ZZK aende zake huko CCM ACT.
Kama kweli chimbuko la sakata hili ni Power Struggle ndani ya CDM, chama hakitafika mbali kwa style hii.
 
Huyu ndiyo mnamuita wakili msomi?

Kuna kipengele ndani ya katiba ya CHADEMA inasema"mtu yyt atakaye kishtaki chama mahakamani atapoteza sifa ya kuwa mwana CHADEMA"

Leo mnakumbuka kipengere cha kukataza wanachama kwenda mahakamani,lakini kile cha mlichoondoaa cha ukomo hamtaki kuzungumza
 

Namfahamu vizuri Msando, kijana njaa sana huyu. Yeye afatane tu na Zitto kwenda CCM.
 
Katika wanasheria mambumbu TZ huyu ni wa kwanza..
 

Yaan watoto wa vigogo wa ccm, kipind hik hawana raha kbs, pole xna hiyo ndiyo CHADEMA, kila linalopangwa na ccm linaumbuka?
 
Leo katiba ya chadema inaonekana halali kwa zito,ila hao hao viongozi wachadema Mara nyingi hawataki na wanavunja sheria halali za nchi,uchochezi nk,ningekua waziri wa mambo ya ndani nimuda muafaka kusimamia sheria za nchi
 

Hiyo Katiba ina macho kwa watu fulani fulani tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…