cardiologue
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 351
- 90
Mwanasheria huyuhuyu feki si ndo anasimamia kesi ya mwenyekiti kule Hai au? Akiwa Hai jembe, akiwa kwa zzk zunde duuuh.Mwanasheria feki huyu. Mh tundu ametoa kwenye katiba ya CHADEMA hakutunga yeye yakwambaaa mwana CHADEMA yeyote atakae shitaki mahakaman moja kwa moja atakua amejivua uanachama so huyu mwanasheria Alienda shule kafanya nn? Da!
ni kwa kiasi gani katiba ya chadema imefuatwa kwenye kila maamuzi ya utendaji ndani ya chama?katiba ndio iliyomfukuza
Swali la mdingi, nani mwenye mandate ya kumfukuza ZITTO?
Ni utaratibu wa kawaida, umewahi kujiuliza kama CCM wamewahi kupelekana Mahakamani kwa mambo yaliyopo ndani ya chama chao? umejiuliza kwa nini TFF wanakipengele kinachokataza mambo ya mpira kupeleka mahakamani? mi nasema tumechoka na undumilakuwili lazima aende zake.Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema
Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema
Kwani si alikubaliana na katiba hiyo hiyo kipindi chote hicho?Nn maana ya demokrasia?kma swala haljapatikana muafaka ndan ya chama hachukue hatua gan?katiba ya chama ni ya kidikteta nafkria inapnga wanachama kwenda mahakaman il iwakandamize kwa maslai ya wachache.shame chadema
Kwani si alikubaliana na katiba hiyo hiyo kipindi chote hicho?
Acha kubwabwaja kama umekatwa kichwa, Katiba imegeuka ya kidikteta baada ya kumuadhibu Zitto eeh?