'... Hey dark máster nitembezee chata kisha nipe kipaza nihubiri kama pastor, ndani ya Gheto ni mengi yametukuta ila bado másela tunakomaa kutafuta,
Bado tunazisaka hata kwenye vichaka, mtafutaji hachoki na akichoka ndo ameshapata...' ( verse za Ngwea)
Juma Nature ft Ngwea and KR- Msela
Cowbiz Cowbama, Mkali wa freestyle nambari 1 Tz nzima hakunaga, akifuatia Chid kisha 3 ni King Zilla rip
Miaka 7 sasa bado twakukumbuka Mkali wetu,, Mungu akupe pumziko la amani