Mi mwenyewe naenda club kila wiki
Siotu kwamba ninafata mziki
Mkiwa wachache mi naona hapalipi
Hata niwe na hela vipi na rundo la marafiki
Vijijini asilimia tisini maskini starehe yao ni pombe na nyinyi
Sasa mpaka lini mtakuwa mnadharaulika na kunyanyasika au nyie wenyewe mmeridhika
Kuolewa mna haki wala msiite bahati nyie mnadhani wanangu mi ntalea nani
Sema tu wengi wenu ni vi.......
Daaaah! Cowbama