Ina maana yeye hakuwa na taarifa kuwa mama alikataza mabango?Chalamila ni mhuni kama wahuni wengine tu, mwacheni aje huku kwa mabeach boy tubembee naye......let them experience the difficulties for sometimes, they might learn somethin.....lazima naye ajue Bia inanunuliwaje....
Mdomo wake uliponza kichwa chake, mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri. Cha msingi tu alikuwa akiimaanisha nini? Ujumbe wake unarandana kwa namna hii au ile na ule wa veronica france.Simkubali Chalamila ila kwa hili "MITANDAO IMEMSAGIA KUNGUNI".
Kuna waziri aliyejaribu kutumia taaluma yake kuelezea hatari za kupiga nyungu kiafya akakiona cha mtema kuni sembuse huyu aliyepingana waziwazi na kiti.Nimesoma kichwa cha habari tu jibu ni ndio kafanya gross misconducts. Angekua the common mwananchi kwa zile kauli zake mbili zile angekua ananyea ndoo for the time being akichachafywa chafashwa. Hivo inatakiwa akamatwe ahojiwe akiwa ndani
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hata kwa kutumia jf unaweza kupata watu wazuri wanaoweza kulisaidia taifa hili kizalendo kabisa kuliko akina chalamila na kaseselaKwa kweli alichokifanya Braza ni Insubordination ya wazi wazi. Kama rais alishaelekeza kuwa, Viongozi watatue matatizo ya wananchi huko huko kwenye maeneo yao. 'Hataki kuona bango lolote kwenye mikutano yake ati yeye akienda ndio aelezwe atatue wakati kuna utitiri wa viongozi kwenye ngazi mbalimbali. Alienda mbali akasema, bango 1 tu linatosha kumuondoa Mkuu wa Wilaya na wengine'...
Kawachonganisha nini hebu muache kulalama. Sisi tunachotaka maendeleo na si malalamiko. Muda uanenda hivyo unakaa kuanalyse. Je unajua wewe hali aliyoikuta? Eti uasi, chapeni kazi!Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake.
Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa anawachochea watu wa kanda ile dhidi ya kifo cha mpendwa wetu. Bado haamini kuwa Mungu anaweza kufanya vile kwa mtu ambae ni Rais.
Chalamila anafahamu kuwa Tanzania ina kanda nyingi zikiwemo kanda za Mashariki, Kaskazini, Kati, Kuzini, Nyanda za juu Kusini, Magharibi na Kanda ya Ziwa. Alikuwa akifahamu kuwa kanda ya ziwa ilikuwa miongoni mwa kanda nchini ambazo zimerundikiwa kwa makusudi miradi mingi ya maendeleo ya matwilioni ya pesa kulinganisha na kanda nyingine nchini. Chalamila anataka kwenye miradi hiyo mama Samia asiondoe hata coma wala nukta kwenye ujenzi na utekelezwaji wake.
Chalamila inawezekana ana hasira iliyopitiliza juu ya awamu ya sita. Aliyoyasema hayakuwa kwa bahati mbaya, lazima ahojiwe zaidi ili kujua alimaanisha nini kusema pamoja na kwamba JPM amekufa lakini miradi ya kanda itatekelezwa kama ilivyo na mama Samia, huko ni kuwachonganisha wananchi wa kule na mama, maana hata JPM kuna miradi ya watangulizi wake aliifanyia tathmini ili kuona ipi aendelee nayo na ipi aicheleweshe na ipi aiache kabisa. Kwanini Chalamila anataka kuwaaminisha watu wake kuwa miradi na ahadi za JPM zitabaki palepale na vilevile kwa spidi ileile?
Wacheni ujinga hali aliyoikuta ina nini? Barabara xilikuwepo, umeme ulikuwepo, magorofa yalijengwa, gesi iligunduliwa na kuwashwa, ajira zilikuwepo, timu ya taifa ilikuwa inacheza, uwanja wa mpira ulijengwa, udini na ukabila ulikuwa hakuna, mabasi ya kwenda haraka yalikuwepo, shule zilikuwepo, nyumba za askari zilijengwa kila kambi, airport ilikuwa inakarabatitiwa, barabara zilijengwa, daraja la kigamboni lilijengwa, nk. Tuache kudanganya watu.Kawachonganisha nini hebu muache kulalama. Sisi tunachotaka maendeleo na si malalamiko. Muda uanenda hivyo unakaa kuanalyse. Je unajua wewe hali aliyoikuta? Eti uasi, chapeni kazi!
Naona katoa na singo ya kuhamasisha...Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake.
Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa anawachochea watu wa kanda ile dhidi ya kifo cha mpendwa wetu. Bado haamini kuwa Mungu anaweza kufanya vile kwa mtu ambae ni Rais.
Chalamila anafahamu kuwa Tanzania ina kanda nyingi zikiwemo kanda za Mashariki, Kaskazini, Kati, Kuzini, Nyanda za juu Kusini, Magharibi na Kanda ya Ziwa. Alikuwa akifahamu kuwa kanda ya ziwa ilikuwa miongoni mwa kanda nchini ambazo zimerundikiwa kwa makusudi miradi mingi ya maendeleo ya matwilioni ya pesa kulinganisha na kanda nyingine nchini. Chalamila anataka kwenye miradi hiyo mama Samia asiondoe hata coma wala nukta kwenye ujenzi na utekelezwaji wake.
Chalamila inawezekana ana hasira iliyopitiliza juu ya awamu ya sita. Aliyoyasema hayakuwa kwa bahati mbaya, lazima ahojiwe zaidi ili kujua alimaanisha nini kusema pamoja na kwamba JPM amekufa lakini miradi ya kanda itatekelezwa kama ilivyo na mama Samia, huko ni kuwachonganisha wananchi wa kule na mama, maana hata JPM kuna miradi ya watangulizi wake aliifanyia tathmini ili kuona ipi aendelee nayo na ipi aicheleweshe na ipi aiache kabisa. Kwanini Chalamila anataka kuwaaminisha watu wake kuwa miradi na ahadi za JPM zitabaki palepale na vilevile kwa spidi ileile?
Chalamila ni mhuni kama wahuni wengine tu, mwacheni aje huku kwa mabeach boy tubembee naye......let them experience the difficulties for sometimes, they might learn somethin.....lazima naye ajue Bia inanunuliwaje....