Alaumiwe nani?

Alaumiwe mvulana... Kwa kujua fika kuwa huyo binti wa kati anampenda fika na kumuamini then bado anampiga chenga hapo hapo; bora hata ingekuwa mbali na hapo. Huyo binti hapo nyuma hawezi laumiwa saana. Love makes you do crazy things... Ukute yupo radhi walau apate hilo busu kwa njia ya uficho mradi aridhie hamu ya penzi lake juu ya jamaa...
 
alaumiwe msichana mwenye nguo nyeusi,haja-concentrate kwenye jambo analofanya ndo maana anaibiwa
 
Kwanini utangulize kulaumu badala ya kuuliza apongezwe nani?
 
huyo mwanaume na huyo mwanamke mwenye nyekundu, wote ni wa kulaumiwa maana hawajamtendea haki huyo dada mwenye nyeusi!
 
Huyo mdada alukumbatiwa akiona hayo ya mabusu kama njiwa anaweza kuzimia....duh huyo jamaa kiboko....
 
Kwa nini kulaumiana wakati naona wanaelekea kwenye 3some game?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…