Petrol kwa Dar ni 3,257 kwa lita. 20,000tsh inakupa 6lts tu, ambayo kiuhalisia ndio reserve ya tank lako. Taa kublink ni sawa kabisa, siju hizi walau uweke 40k+ ndio unahisi umeweka mafuta.
Mkuu lita 4 kwa 10,000 wanauza wapi nasi tukanunue. Mfano mimi gari ninalotumia linaanza kuwaka taa kukiwa bado na litaka za kutembea km za kutosha. Nadhani hata lita 8 taa inawaka
Petrol kwa Dar ni 3,257 kwa lita. 20,000tsh inakupa 6lts tu, ambayo kiuhalisia ndio reserve ya tank lako. Taa kublink ni sawa kabisa, siju hizi walau uweke 40k+ ndio unahisi umeweka mafuta.
Iko hivi, kawaida, tanki langu linapobakiza kuanzia lita 8 kushuka chini, alarm huanza kuflash. Kwa safari niliyokuwa nayo siku hiyo, ilipoanza kuflash nilijua mafuta hayapo zaidi ya lita 8, ndipo niliamua niongeze lita kama 4 kwa sh 20,000.00. Hizo ziliongeza lita kutoka 8 hadi kwenye 12, ambazo kuflash kungekoma lakini kuliendelea. Hapo ndipo ilinipa wasiwasi na kuleta hoja humu.