Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

tupo huku mashabiki
 
Avicij anaingia Humu mkuu?
 
Sina ufahamu kabisa kuhusu aina hii ya muziki
Kitu pekee ninachokijua ni kwamba naupenda sana wimbo wa ON MY WAY na wala sikujua ni aina gani ya muziki
Niliusikia Clouds top 20 nikaupenda nikaudownload

Itabidi kuanzia sasa niingie chimbo nitembee na nyimbo zilizotajwa nijionee kama yaliomo yamoo?
 
Bila shaka,,,Avicci ni msanii wa aina hii ya muziki,,Namkubali pia,,ngoma kama Waiting for love,Hello Brother na Levels nazikubali mno...R.I.P to him,,,Drugs sio nzuri kabisa
Sure, Kuna ile my father told me
 
Mkuu mkuu nakupa heshima kubwa baada ya kuona unapenda vitu vyangu hasa.. vitu vya kumoyo. Acha kabisa.. hakuna mziki umewahi nipa raha kama EDM. Kwanza acha tu ntalia mimi.... Hapa nina zaidi ya 50 hours ya MIxing ya Allan Walker,Calvin Harris, mixing za pale Tomorrow land, black coffee ndo usiseme
 
Playlist Kali mnoo
 
Aaah kula tano bro..tuko pa1πŸ‘Š
 
Binafsi napenda sana kwenye show zake ni Mtu ambaye anajua kukosha sana mtulivu sana afu anajaza sana Arena Allan Walker siyo wa Michongo kabisa
 
Nina playlist ndefu sana ya huyu mtu na nyimbo zote mlizozitaja humu ninazo kimsingi hata mimi namkubali sana huyu mwamba,kanifanya nimjue mwanadada anaitwa sofia Somajo na kuanza kumfuatilia,huyu dada nae ni nuksi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…