Alamsiki wana JF

Alamsiki wana JF

young k

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
141
Reaction score
16
Usiku mzuri ni kutakiana waungwana walio pamoja baada ya kumaliza siku nzima iliyojaa majukum,mizunguko,furaha na kero ambazo hukamilisha siku,nawatakia usiku mwema waungwana mungu akijalia tutakutana tena kesho kwaajili ya mijadala na mabo mengine mengi ya kimaisha......!!!
 
Huku kwetu ndio kwanza jua la mchana linachapa...
 
Kwani lazima kila usiku uwe mwema!? mi ndo najiandaa kwenda kuyavuruga town, nikirudi hai nisiporudi yote maisha...
 
Usiku mwanana..kwa wale wa shift ya usiku kazi njema.
 
Kaizer mzima dia. ila mwenzio nimeponea chupu chupu kupewa talaka rejea au talaka tatu kabisa.
Nini tena dear...analeta marinjirinji...au ni wewe unamchanganya akili kijana wa watu!
 
Back
Top Bottom