Alama za Ushoga!!

Hi JF members mna nini na mashoga, singo maza, wanaume wa dar, wadada watoa tigo, mbona mmewaandama sana hivi viumbe vya mungu.
Muwasamehe tu, tuendelee na maisha ya kawaida.
 
Mtu ambaye Hana marinda unamuona kabisa akiwa anatembea sasa akiwa anakimbia ndo kabisaaaa
 
Hi JF members mna nini na mashoga, singo maza, wanaume wa dar, wadada watoa tigo, mbona mmewaandama sana hivi viumbe vya mungu.
Muwasamehe tu, tuendelee na maisha ya kawaida.
Ni tabia mbovu Sana ndo hatukai kimya.

Hii inaweza Saidia kutokomeza tabia hizo
 
Well, una haki ya kutoa maoni yako japo nadhani mtazamo wako juu ya wanawake wavaa vikuku sio sahihi.

Exposure nayo muhimu...
Naunga mkono hoja...
Akivaa muhindi au kabila jengine ni sawa..ajabu avae mtu mweusi!
Ule ni urembo lwa mwanamke kama bangili za mkononi!
Wanaotoboa pua ..
Tafsiri nyingine ...
 
Naunga mkono hoja...
Akivaa muhindi au kabila jengine ni sawa..ajabu avae mtu mweusi!
Ule ni urembo lwa mwanamke kama bangili za mkononi!
Wanaotoboa pua ..
Tafsiri nyingine ...
Hizi nguo zenyewe tunazovaa sio utamaduni wetu lakini bado watu wanajikuta wako so perfect.
 
Kuna jamaa mmoja yeye anauza simu mkononi ni maarufu sana kwenye magroup ya whatsapp kuna siku alikua anashangaa shoga anataka kununua simu jamaa anakwambia kaza sauti sikusikii basi shogile ndo kwanza anazidi kuilegeza sauti hahahaa
 
Nikifikia hatua ya kuwa na Pesa ninayoitaka ntavaa vyovyote navyo taka, hakuna wa kunipangia Maisha yangu kwani si Ishi mara mbili Duniani.

Hapa yenyewe navuta Bangi harufu anaipata mpaka Baba mkwe na bado anasisitizia vuta mwanangu maana, Bange imekupenda na inakutuliza vizuri.

Sasa wewe Mtu wa kukesha kwenye Mtandao uje na Sera zako za hovyo hovyo tena mchana umepitisha nyuuutrooo utaniambia nini nikusikie...!!!!

Nimezaliwa Masiki sana ila naupinga umasikini kwa juhudi kwa sababu kama hizi, hizi ni sababu za masikini kujifariji pale anapo shindwa katika majukumu yake Ovaaaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…