Katika kujifanyia kautafiti kadogo, nimegundua yafuatayo kuhusu watu wanaofanya ngono kinyume na maumbile.
Wanaume wote wanaovaa hereni masikioni asilimia zaidi ya 80 wanafilwa.
Wanaume wote wanaosuka nywele, kufanya makeup au kutia nywele dawa wengi wao hucheza huu mchezo.
Wanaume wengi sana wanaovaa suruali au kaptula kwa mlegezo a.k.a kata kundu, hufanyiwa mchezo huu wa ulawiti.
Wanawake wote wanaovaa mkufu mguu mmoja wanamaanisha kuwa wapo kibiashara ya ngono.
Wanawake wote wanaovaa mkufu miguu yote miwili maana yake wapo kibiashara ya ngono mbele na nyuma.
Biashara matangazo, ukiwahitaji watu wa namna hiyo sio lazima utafute madanguro au sehemu wanapojiuza, wewe angalia hizo sign tu.
Michezo ya kulawitiana ni marufuku magerezani huko USA hivyo kama unafanya hizo mambo unavaa mlegezo basi unakuwa unaeleweka.
Hivyo hata leo, angalia hereni tu.