Alama za misalaba ni upagani

Luka 22:19
 
Mimi sijui kubishana na wapinga kristo.

Tumeagizwa kuhubiri INJILI, ukipokea sawa, usipopokea pia sawa.
kwani mimi nakuletea aya kutoka injili ipi ??

wala sijakuambia tubishane
 
kwani mimi nakuletea aya kutoka injili ipi ??

wala sijakuambia tubishane
Unafikiri kuquote Aya ndo kujua Aya?

Mimi nikiquote Aya isemayo shetani ni mwislamu, na Allah Yuko kuzimu utaelewa?
 
Unafikiri kuquote Aya ndo kujua Aya?

Mimi nikiquote Aya isemayo shetani ni mwislamu, na Allah Yuko kuzimu utaelewa?
Sasa si ndio unifahamishe badala ya kuniita majina ya ajabu ajabu ??
 
Biblia ikizungumzia Msalaba haimaanishi huo mti

Why mnaendelea kudanganywa?

Mbona vitabu vimeweka wazi,
Msalaba ni mti pia na pia inategemea na andiko lililenga nini hasa ili kupata tafsiri nyingine.

Waefeso 2 :16
Akawapatanisha wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba.

Wafilipi 2: 8
tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.

Marko 15: 21
Wakamshurutisha mtu aliyekuwa akipita, akitoka mashamba, Simoni Mkirene, baba yao Iskanda na Rufo, ili auchukue msalaba wake.


Kisha tazama maandiko haya chini.

Mathayo 10 :38
Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili.

Luka 14 :27
Mtu ye yote asiyeuchukua msalaba wake na kuja nyuma yangu, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Hayo maandiko hapo juu yametoa tafsiri tofauti za neno msalaba, hivyo kusema siyo mti sio sahihi maana hiyo ni tafsiri moja wapo pia.
 
Hapo kwenye kuchukua msalaba wako na kumfuata Yesu ndipo penye utata katika tafsiri.
 
Hapo kwenye kuchukua msalaba wako na kumfuata Yesu ndipo penye utata katika tafsiri.
Kabisa hapo ndipo mtoa mada kahitimisha kuwa msalaba ni wokovu pekee (yupo sahihi kabisa kwa upande huo).

Ila msalaba ni mti pia alipotundikwa Kristo na kufia hapo.
 
Imeandikwa: 1 Kor.18 -31 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Nitaiharibu hekima yao wenye ...
 
Biblia inapotaka muumini arejee Msalaba inamaanisha kifo Cha Yesu kuhusu dhambi zako, na sio uchonge mti wa kg 50 uvae shingoni, au uweke ndani
 
Kikubwa kwa muhusika hio alama inabeba maana gani.......... Ndo maana hata rozali/tasbih mchawi anaweza kuitumia kutokana na maana aliyoipa
Unapofanya utafiti wa Illuminati na freemason hasa Alama zao zilivyoingizwa Kwa Siri makanisani unapaswa kujua kanuni tatu ( 3) muhimu

ambazo ndizo msingi wa freemason/illuminati:

1)Thesis x Antithesis =Synthesis;

2) Hesabu na namba za freemason; na

3)Alama na ishara za freemason.

Huwezi kuelezea au kuelewa Alama za freemason kwa ufasaha

kama hutazingatia kanuni hizo tatu. ‘Thesis xAntithesis = Synthesis’

ndiyo kanuni

inayotawala kwa freemason na kutekelezeka kwake kunategemea hesabu na namba pamoja na alama na ishara za freemason.

Kwa nini wanatumia kanuni ya alama na ishara? wanasema

“By symbols…is a man guided and commanded… ”

wakimaanisha

kuwa “watu huamrishwa na kuongozwa kwa kutumia alama”.

Ndio maana hata waumini wengi wanaongozwa kwa kutumia alama ama ya nyota ya pentagram, jua, mwezi au msalaba.

Kwa nini wanatumia kanuni ya namba?Kwa sababu

“Occultists Worship Numbers and numbers have power”.

Hivyo kama umepungukiwa na moja ya kanuni hizo ni wazi kwamba utafiti wako utapungua na utabaki kuwa mbishi na mfia dini

Nakupa mfano angalia hii alama ya mwamposa ,na anakwambia inuka uangaze ,Nyie malyman mnajua anamaanisha Mungu wa mbinguni

Angalia hiyo alama ya Nyota ,

 
Hapo kuna ankh pia ambayo ilikuwepo tokea enzi za kemet kabla hata ya hao freemason, na pia msalaba kwa wengine una wakilisha element 4 zilizoumba dunia (moto, hewa, udongo na maji),,,,,,,........ Ndo maana nawaambia hizo alama zinategemea mtumiaji ana dhamira gani,,, nguvu inatoka kwa mtu ambae kazielewa na kuzipa maana hizo alama, zikiwa zenyewe hazina nguvu yoyote hadi binadamu azipe maana
 
Wakatoliki ndio wapagani wakubwa kwa kuwa wanapenda sana haya mambo ya misalaba
 
Biblia inapotaka muumini arejee Msalaba inamaanisha kifo Cha Yesu kuhusu dhambi zako, na sio uchonge mti wa kg 50 uvae shingoni, au uweke ndani
Ni kweli, hata ndani ya Biblia maana ya msalaba imeandikwa kutegemea muhusika alilenga kusema nini......yaweza kuwa mti aliposulubiwa Kristo au Wokovu uliotokana na kifo cha Kristo.
 
Ndivyo sisi tunavyomaanisha.Language evolves,sio stagnant.
 
Ni kweli, hata ndani ya Biblia maana ya msalaba imeandikwa kutegemea muhusika alilenga kusema nini......yaweza kuwa mti aliposulubiwa Kristo au Wokovu uliotokana na kifo cha Kristo.
Hapana Proved,msalaba ni nomino,it can't be salvation.Salvation in the spiritual sense is deliverence from sin and its consequences.
 
Ndivyo sisi tunavyomaanisha.Language evolves,sio stagnant.
Yeah but umewahi kuwaza kipindi ameandika hivyo ilikuwa inatumikaje?

Maana Usitafasiri neno Kwa tafsiri ya Sasa ni vizuri ukatafsiri kwa Tafasiri yake yeye wakati huo...

Kwa mfano miaka ya Nyuma Kidogo neno Chizi, Mchizi, Mzuka ,Mshikaji....

Lilikuwa na maana Tofauti na litumikalo sasa..

Kwa mfano ukikuta Barua ya mwaka 1960s mpaka 1990s Imeanikwa "Akaenda kwa Machizi wenzake"
Its has the different meaning na Barua hiyo hiyo ikiandikwa miaka hii ya 2010s mpaka 2020s ikiwa na the same context..

Unajua namaanisha nini?
language can be Evolves and Not Stagnant "as you said"..

But Time consideration, The context (Wazo kuu la mwandishi kwa wakati huo linamaanisha nini)..


Ila ili usipotoshe maana.. You have to consider the Contextual meaning of the Time when it was Written!

Hauhitaji Kumsoma Okot' P Bitek sana..
Kuelewa nilichosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…