Alama za misalaba ni upagani

Kifupi mleta mada hutegemei Biblia pekee kama kitabu Cha mwongozo wa dini yaani kitaalamu inaitwa Sola Scriptura kuwa Biblia hahitaji msaada wowote nje ya Biblia

Kuna wengine hugawa siku za kuabudu Kwa wapagani kuwa ni siku zao wasiabudu mfano Sunday husema ni siku ya Mungu jua wanasahau hata Monday wapagani walibadili kuwa siku ya kuabudu mwezi na siku Saturrday ilikuwa ya kuabudu Mungu wa sayari ya Saturn ndio maana inaitwa Saturday , Thursday ilikuwa siku ya kuabudu Mungu radi yaani Turnder

Msoma maandiko hategemei matabu nje ya Biblia kutetea ilichosema yawe matabu ya Mfalme costantino au yeyote

Ukiona kidini hakitumii Biblia pekee kujenga doctorine ya Imani Yao Hadi wawe na matabu mengine nje ya Biblia jua hiyo Imani inafundisha Imani za mashetani iepuke kama ukoma

Imani ya kweli ya Kikristo inasimama kwenye Biblia tu full stop Sio matabu ya sijui ya Mfalme Costantino au yeyote

Ulichoandika ni upotofu wa kuokota mavitabu majalalani

Biblia inasimama kama yenyewe tu haihitaji utetezi wa matabu mengine ya wanadamu

Mfano Mungu alisema Kwa Lugha rahisi tu fanya kazi siku sita ya saba pumzika hakutaja ni juma ngapi .

Sasa mtu akitokea kusema siku Mungu alisema fanya kazi siku sita ya saba pumzika kuwa hiyo siku ni jumamosi au jumapili muongo Sio lazima hiyo siku iwe jumapili au jumamosi yaweza kuwa yeyote kutegemea jamii mahali walipo mfano Uarabuni ijumaa ndio Huwa siku ya saba kwao kule sabato itakuwa ijumaa sababu mtu anamfanya kazi mfululizo kuanzia jumamosi ijumaa sabato kwake
Soma Biblia tu inatosha hayo matabu mengine hayana maana yanakujaza mavitu kichwani yasiyo na maana

Unajaza ujinga tu
 
Kazi kweli kweli...

Mathanzua Rabbon pitieni hapa...

Freemason sio mbaya kama tunavyoaminishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Roman Empire haijafa ndio hiyo imegeuzwa kuwa kanisa,,,
 
Kazi kweli kweli...

Mathanzua Rabbon pitieni hapa...
Sina cha kuongeza mkuu,Jackwillpower has done an excellent analysis.

Ni hivii,kwa kawaida Shetani akifanya jambo lolote anaacha signature yake.The cross is a satanic symbol,kwa hiyo kwa the Jewish community kumtundika Kristo msalabani, Shetani alikuwa anatangaza kwamba yeye ndiye aliyemuua Bwana Yesu by using his agents.

Labda nimalizie kwa kusema kutumia msalaba anywhere in any Christian Church is pagan and a shame,and only shows that the entity is not a church but Satan's creation.
 
Mkuu umeandika sentensi ngumu Sana..

Hili neno hapa chini umelielewaje ?....

1 Wakorintho 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.

Kwa kiingereza....

1Co 1:18 For the preaching of the cross is to them that perish foolishness; but unto us which are saved it is the power of God.

DR Mambo Jambo Shotocan
Rabbon
 
Mkuu Proved!
Vijana wa Siku hizi wanasoma Google na kuja kuanzisha Thread 😅

Ni ajabu sana kwa mtu anayejua Maana ya Hizo alama kuandika alichoandika neno la msalaba ni neno Kubwa sana na huenda limezidi hata uwezo wa mtoa mada kuliwasilisha...

Alama kama hiyo Ya Samaki hajui ni Alama inayomaanisha "Cristus" yaani masihi na ndo iliyumika kweny makanisa ya Awali yote..

Mi namshauri akasome SYMBOLISM kwanza kabla ya kuingia kwenye hii Kitu ni mweupe sana..

CC: Jackwillpower
 
Whats Pagan mkuu!
Unajua maana ya pagan..
 
Kazi kweli kweli...

Mathanzua Rabbon pitieni hapa...
Msalaba una maana kubwa Kwa wote wenye Imani katika kristo Yesu.

Ni Ishara kuwa Mungu alikuja katika mwili akafa akazikwa na kufufuka siku ya tatu.

Ikumbukwe pia kuwa Ibada Kwa wakristo ni katika Roho na Kweli.

Msalaba ni katika Imani, Si katika kuuvaa shingoni au kininginiza ndani ya gari. Kufanya hivyo ni kufanya Ibada ya sanamu Kwa kujua au kutojua.

Shetani ni Mwizi na baba wa copy na paste, alama ya Bikari watumiayo Freemason amecopy na kupaste alama ya Mungu iliyoko Mbinguni.

Alichokifanya ni kuigeuza juu chini na kuifanya ni alama yake Ili aabudiwe.

Waaminio haturuhusiwi kuvaa michoro na alama zozote katika miili yetu, ndomana hata nguo tunatakiwa kuvaa RANGI Moja, mambo mengi Bado hatujafikia utimilifu, lakini tunakoelekea tutarudi kama Kanisa la kwanza.

Mungu awabariki nyote.

Amen
 
Maana yake ni "the word which relates to the crucification of Jesus Christ at Calvary."
 
Pagan is a person or beliefs other than those of the God of Abraham and Jacob or the God who created the Universe.
Mkuu hiyo sio tafsiri ya Pagan...

Pagan limetokana na neno la kilatin paganus linamaanisha Wanakijiji /Watu wa kijijini au Watu wa mikoani...

Nyinyi ndo mnalitumia Vbaya na Dini zenu hizo..

Kwa mfano nikisema wazazi wako ni wapagani namaanisha sio wa Dar au wa Dodoma..
Yaani wa mikoani..
Au ni wa vijijini..
 
😆😆😆 umetoa kwenye zile CD za buku buku wanazouza mtaani au?
 
Nitarudi
 
Ulikombolewa kutoka wap
 
je wale wanao weka mapanga kama mfano nembo ya chama cha ccm ,nyota na mwezi ni wakina nani
Halafu siyo ujinga huo tu, bali maudhui ya kitabu chao ni kituko Cha Ajabu.
Mfano hapo chini ati monkeys nao wanafuata Sharia ya Allah wanampiga mawe mzinzi🙃🙃😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…