Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,030
- 1,384
Sijaelewa hata.Kila mstari mmoja unaonyesha mita moja. Kwahiyo mistari mitatu ni mita mia tatu mbele.
Sijaelewa hata.Kila mstari mmoja unaonyesha mita moja. Kwahiyo mistari mitatu ni mita mia tatu mbele.
Mkuu gari manual au una maana nyingine?Umenikumbusha na kunitamanisha safari zangu za kuendesha umbali mrefu. Nimepamiss Lushoto... Itabidi December hii nisababishe, namaliza gia zote 5 hadi gari inakuwa nyepesii.
Raha ya manual uzimalize gia zote.
Asante kwa maelezo matamu.
Mkuu gari manual au una maana nyingine?
Maana kiswahili siku hizi kinazidi tu kukua na kuchafuliwa pia.
Wanawake wanavyopenda auto'ivyo! Hata siku moja sijawahi kusikia mtu jinsia ya kike akipenda kuendesha hayo makitu, kama ulikuwa una maana ya gari kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha, haina shida kabisa navigator nipo hapa. Sasa tupige trip hii ya kwanza Dar-Mbeya hii tunatoka Dar mchana then tukafike Mbeya usiku then Trip ya pili sasa hii ndio itakuwa funga kazi sasa, ukiwa Mbeya kule kuna chocho moja unakula unatokea Songea then tunatokea Mtwara.Hahahaaaaa raha iliyoje..... Sina hiana Kasie mie, sema basi tupige trip ya wapi maana safari za mchana na usiku zote naweza.
Safari ndefu ndo zangu, ila ili usisinzie itabidi uwe unanisomea ramani, sawa?
Ha ha ha ha, haina shida kabisa navigator nipo hapa. Sasa tupige trip hii ya kwanza Dar-Mbeya hii tunatoka Dar mchana then tukafike Mbeya usiku then Trip ya pili sasa hii ndio itakuwa funga kazi sasa, ukiwa Mbeya kule kuna chocho moja unakula unatokea Songea then tunatokea Mtwara.
Trip ya pili tutaanza kuhesabia hapa yani iwe Mtwara - Lushoto tunatoka Mtwara mchana then by usiku tutakuwa na ndani ya Lushoto. Upo hapo bby Driver!!!
Ha ha ha ha ha ha, mbona fupi sana hiyo haichukui hata week moja mbili nyingi sana.Hahahahhahaaa weeh keengeeh hiyo safari ikiwa ndani ya wiki 2 sawa, chini ya hapo unataka kunitoa maini au bandama?
Usijali niko vizuri, ngoja niweke sawaratiba zangu. Kaa mkao wa safari.
Ha ha ha ha ha ha, mbona fupi sana hiyo haichukui hata week moja mbili nyingi sana.
Nasubiri nione maujanja yako barabarani bibie wewe.