Alama ya Taifa :Sisi tuna nini?

Alama ya Taifa :Sisi tuna nini?

Aaamuk basi hujafika Arusha? Kuna mnara wa Mwenge. Kuna Shujaa kabeba Bunduki, kuna Clock Tower n.k. Wa Nje wakipita na ndege wakiona kale kakichwa cha Mwenge wanajua hapa ni TZ na wanamkumbuka JKN.
Sema labda huamki Kama id yako inavyosomeka
 
Nimepokea michango mizuri. ..nashukuru Great Thinkers

Sio vibaya tukipishana mtazamo. ..but nnchi za afrika kukosa hizo Iconic monuments kuna kitu cha kujiuliza. ...maana kama ni sababu za kujenga ziko nyingi lakini hakuna anayejali.

Let alone Egypt ambao wamefanya kitu.

Kama ukitazama upande wa pili wa shilingi jiulize nyumba walizojenga babu zetu kama bado zipo...au magofu yake.

Lakini nyumba walizojenga wakoloni Boma mpaka leo zipo au magofu yapo.

Acha ubwege ww... mambo hayako kama unavyofkiria.
Ukifatilia mpaka kuwepo kwa hizo iconic monuments utapata picha kwamba kuna kitu huko nyuma kilipelekea kukawepo hiyo icon..., ni sawa sawa na kwa mfano akatokea raisi akafanya Tanzania tukawa na maendeleo makubwa katika utawala wake ndipo waTZ wajitolee kulitengeneza sanamu lake kuubwa waliweke kwenye eneo lililoinuka juu sana au kwenye kilele cha mlima.. lakini nn kimesababisha ndio jambo la msingi.... sio swala la kukurupuka tu.

Wagonjwa wanalala chini, shule hazina madawati, mijini kuna foleni kibao kisa barabara nyembamba bajeti hazitoshi we unafkiri nani atadhamini maBilioni ya shilingi kwaajili ya kujenga icon ya Taifa ikiwa mambo madogomadogo kama hayo yanaleta changamoto.

Think Big Broh.
 
Alama ya taifa stars iko kwenye nembo ya soda. S7 up...hahahaaha
 
Back
Top Bottom