Alama uliyoiweka haijafutika

Pole na hongera kwa ku move on mwamba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu! umewezaje kusoma yote!
 
Atakuwa alitumia weakness moja kwa mwanmke. Alianza kumponda jamaa na kuelezea jinsi asivyofurahishwa na kitendo cha mshkaji (mleta uzi) kutokuwa na imani naye.
 
Jamaa yako snitch kweli. Ulikosea kuwa na rafiki wa vile. Happy usimlaumu sana, maisha yalikuwa magumu ikabidi achukue maamuzi magumu.
Ila kuna watu mnahonga, unapata 20/30 unatoa 10, mimi hiyo kitu sifanyi.
Ungetoa shi ngapi kiongozi??!
 
Dah safi sana.
TUPIGE KAZI TUACHANE NA HAYO MASTORI.
nimekukubali sana kamanda.this is how man's mind should always operate
Mapenz iwe just a part na yawichanganywe na kazi.Piga pesa kwamza mengine baadae.

Ila hujamalizia kama mliendelea poa na mshkaji wako.Kama ni hivyo, nakupa Big up.
 

Ahahah tuliendelea kama kawaida yetu, like nothing had happened. Sema walikuwa hawaniambii kama wanasindikizana jioni kama mwanzo☺..

Ofcz miezi kadhaa ilikuwa imepita hadi kuja kupata text ya binti, pengine ilisaidia kupunguza maumivu japokuwa kiukweli nilishtuka sana sana. I can remember ile moment nasoma "nilikuwa nasex na rafiki yako".. halafu mshkaji tumeivana kindaki ndaki.. Siku ile ningekuwa na high blood pressure ningepata stroke.. Nikajivuta nikakaa kitandani.

Out of nowhere ndani ya dk 5 nikajipa moyo, achana na hayo mambo, piga kazi. Ofcz siku ile tunapiga kazi mshkaji kama angekuwa anajua nimefahamu angeniona namtazama tofauti. Kale kahasira ka ndani. Tukaendelea poa kabisa.
 
safi sanaaa
 
Ungekuwa unamalizia baadhi ya matukio koments kadri unavyoyakumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…