Alama uliyoiweka haijafutika

Uliposema mtumishi nikaikumbuka ile video ya Gwajima akimpa mtu upako yaani hawa watu siyo wa kuwaamini kabisa,so mkuu Happy yupo wapi au jamaa Steve hamjawahi hata kuwasiliana baada ya pale?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ni afadhali yamekutokea hayo hujamuweka ndani jumla. Mungu wakati mwengine Ana makusudi yake, sisi tu ni wagumu wa kuelewa
 
Good Story Mkuu
 
Mapenzi yanaleta udhaifu mkubwa Sana hasa ukidumbukia mzima,mzima! Ila umekokti dot adi nahis unamjua, jamaa kweli alikua na pesa Zaid yangu "mtumishi wa selikali" ananyonga saut haswaaaa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliposema mtumishi nikaikumbuka ile video ya Gwajima akimpa mtu upako yaani hawa watu siyo wa kuwaamini kabisa,so mkuu Happy yupo wapi au jamaa Steve hamjawahi hata kuwasiliana baada ya pale?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni mtumishi wa serikali mkuu sio wa kanisa, Steve sijawai kumuona wala kumsikia tangu jioni ile pale kwake, kwakweli usimuamini yyte, sio mwanamke wala mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana mkuu, sometimes hivi vitu hutokea for a reason zinakuja Kama lesson kwny maisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mpambanaji! Niliisha mwili balaa, ndan ya wiki yalibaki masikio na kichwa tu, macho meupeee! Vimabega Yan kula hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabsa mkuu, nna picha nilipiga kipindi hcho ambazo kila mwenye kuiona %90 wanaulizaga "vp hapa ulikua unaumwa eeh" bas najibu kwa katabasamu ka mamba kaona nyumbu"[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo naikumbuka ile line ya mwanangu wiz khalifa "Taylor gang ceo" anakwambia "NO LOVE FOR NIGGERS WHO BREAK THE HEART". Pole mkuu, wahuni sio watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure
Lakini hakupaswa kufanya trick ya kijinga ile aliyoifanya
Mkuu mapenzi kitu ya ajabu sana Yani Kuna mistakes unaeza kucommit na ukaona its okay, huezi kusense lolote kwa wakat huo, Kwanza jamaa nlimuona Kama si rahis kupindua meza coz wako mbali afu urafiki wetu ulikua na "strong bond between us" ndo alikua mjanja mjanja pale bush, so tuliendana sana! But ndo ivo tena "some shit happens in life"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke hajaribiwi aisee.... Pole sana.
Vipi, ndoa ya huyo jamaa yako Steve na "Happy", ilidumu? Au hukufuatailia tena.
Pia, unaendelea kuwasiliana na huyo jamaa yako snitch "Steve"?
kibombonya
Snitch alipiga mimba Happy akampeleka town kujitazamia kujifungua, baada ya mda flani wakaletwa watumishi wapya jamaa akadaka mtumishi mwenzake akaoa! Demu akafight penzi kwa snitch akafail ikabid arud kwao Mwanza (kawa single mother wa kujitakia[emoji847]) hajaolewa adi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yako snitch kweli. Ulikosea kuwa na rafiki wa vile. Happy usimlaumu sana, maisha yalikuwa magumu ikabidi achukue maamuzi magumu.
Ila kuna watu mnahonga, unapata 20/30 unatoa 10, mimi hiyo kitu sifanyi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we acha tu mkuu, unaweza kua na buku 10 na ukaitoa yote ukabaki mtupu afu ukaona fresh tu, si unagharamia chako bhna ila yakikutokea puani ndo unakumbuka adi shing Mia uliowah kumpa unaijutia[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…