Kwa nini mnakomalia product badala ya process????!!!!
Kwa nini focus iwe standard za kuchuja na sio standard za kufundishia na vitendea kazi pamoja na mazingira husika?????
Mkuu kwani hayo mabadiliko ni kuchakachuliwa? Wizara imekusanya maoni kwa wadau mbali mbali eg kutoka vyuo vikuu, waalimu, wanasiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wanafunzi. Mf zamani A km ilianzia 81 na sasa inaanzia 75 sio kuchakachua huko ni kupanga viwango ambavyo vinatengeneza stahiki halisi. Eg mitihani ile waliyofanya wanafunzi form four walipewa walimu wao wakafeli sana..hiyo unaitafsiri vipi? Na pia kupanga viwango vya madaraja haimaanishi ndio maboresho ya elimu yamesimama, bado ripoti inaelezea maslahi ya walimu, studying facilities etc.
Hivi kuna hoja kweli mtu unasoma form one hadi form iv then mtihani wa mwisho unapata 18 f katka masomo saba then unaambiwa umepata div ziro, ina mantiki? Hii ina tafsiri mbaya kabisa kwmba umefeli miserably lakini kuwepo kw continuous assesment, na kusema mtihan wa mwisho utacarry 60 percent ni sahihi. Huwezi kumpima mtoto aliekaa darasan kw miaka minne kwa mtihan wa masaa matatu na ukaconclude. Hata nchi za ulaya wanatumia huu mfumo.
Watz bado hatupendi kuridhia mabadiliko kwa sababu tunaogopa mabadiliko yatatudhuru. Vyuoni grade za ufaulu ndio hizi hizi lakini watu hawasemi
Halafu tukishawaondoa hao wanaokuja wana mkakati juu ya elimu? weka sera zao kuhusu elimu tuzisome!
Mkuu..msikilize sifuni mchome. Hayo mabadiliko yanakwenda sambamba na kuboresha mazingira ya ufundishaji.
Ndio maana ya kuwepo kwa BIG RESULT NOW. Wapo wanaoikejeli lakini siku zote kama u have best policy, you have best people, you have resources then huoni kama policy zinafanikiwa wewe unafanyaje? Sasa kwenye hii BRN ndio kuna hayo mambo unayosema kutengeneza best teachers, kupeleka facilities mashuleni, kuboresha maslahi ya walimu.
Serikali kw sasa mwarobaini uliobakia ni hii BRN na wakiipuuza tumekwenda na maji, na ikifuatwa soon tutakuwa at next height.
My last question sir!!!!!!
Kwa hiyo wadau mapendekezo yao ndio yalionesha kipaumbele kwa sasa ni kubadili jinsi ya kutoa madaraja kwanza i mean as a first and fore most priority??????!!!!!!!!
Hilo la methodology ya kukusanya maoni ndio kabisa tutakesha!!!!!
Huanzi kusafisha show case ya kuuzia mikate wakati bakery haina ngano ,hamira,mafuta ya kupikia na gesi!!!!!!!
Wapishi na waandazi hujui hali zao wala morality ya kazi,na wala hujakaa nao kujua kama wako tayari kwa dhati ya mioyo yao kuoka kwa taste unayoitaka,achilia mbali madai yao kabla ya mikate kuungua!!!!!!
It is a matter of time mwenye bakery atagundua tu showcase ni ya mwisho kwenye vipaumbele vya kuendesha mradi wake wa uokaji!!!!!
Halafu ukitaka kujua kuwa watanzania walio wengi hata hawajui kilichoongelewa wala kinachoendelea angalia kila mmoja kanyamaza like kwamba mzizi wa tatizo umepatikana!
Eti madaraja ya A na B ni nusu ya maksi zote 100%?!! jaman tuliona wapi hiki kitu?!
Eti kwamba pamoja na kushusha maksi katika madaraja bado zile division zikaongezwa upana pia ili kulazimisha 'ufaulu'!!
Nashangaa maprofesa ndio waliotangaza hilo, kweli hawaoni kuwa tumeongeza upana wa goli ili kulazimisha matokeo?!
Mungu atusaidie tu! Naanza kuamini kuwa wasomi ndio walioifikisha hii nchi hapa ilipo, kimatendo ama kwa maneno potofu nao kukaa kimya ama kwa kutotimiza vyema wajibu!
Nina Mashaka na uwezo wa Rais na watu wake kufikiri. Zaman watu tumeenda kwa madaraja yale.. Leo yanafelisha. Huu ni uhuni na Ujuha wa CCM kutokubali kuwa wameshindwa kusimamia ubora wa Elimu. Matokeo makubwa kwa kugawa Marks inawezekana. Nitaacha ualimu
Bila ya kuwavunjia heshima, ila nadhani mtu kuwa profesa sio automatically kuwa anaweza kutoa suluhu ya matatizo!!!!!!
Kwenye hili nashawishika kuwaza kuwa kama hawafanyi makusudi basi hawana uwezo nje ya fani zao walizosomea!!!!!!
Sidhani kama profesa wa elimu angeweza kuja na huu mtazamo!!!!!
Wataalamu wa elimu tunaomba michango yenu juu ya hili!!!!!
Mkuu umeisoma BIG RESULT NOW na umeielewa? Tuanzie hapo.
Mkuu mbona wadau wa elimu waliotoa haya maoni ni vitivyo vya elimu? Labda unieleze huu mfumo mpya unafaulishaje?
Mkuu mbona wadau wa elimu waliotoa haya maoni ni vitivyo vya elimu? Labda unieleze huu mfumo mpya unafaulishaje?
Mkuu mbona wadau wa elimu waliotoa haya maoni ni vitivyo vya elimu? Labda unieleze huu mfumo mpya unafaulishaje?
Haihitaji kusoma kila modal inayokuja humu,mkurabita,mkukuta,mkuza na kadhalika, millenium goals,vision 2025,achilia mbali ilani ya uchaguzi na sera ya elimu Tanzania!!!!!!!
Anyways,what is new in there?????!!!!
Highlight please!!!
NB; Modals sio panacea inahitaji ingredients ambazo zina varry accordingly!!!!!
Kuna mdau anasema maoni yamekusanywa juzi tu kwenye semina ya kusimamia mitihani!!???Hilo lina ukweli??!!!!
Nashukuru umetaja mkukuta, mkurabita,vision 2025.
Kwenye nchi zilizoendelea wana "think tank" kwa tanzania hapa ipo "tume ya mipango" inaongozwa na dr philip mipango.(Lakini sijui wamefanya lipi jipya)
Siku zote unapokuwa na best policies, (tunazo), you got best people (which we alread have), yu got resources (tunazo).. Unapogundua bado hufikii malengo kutokana na policy ulizo nazo unafanyaje???? Unaziondoa?? Ndio maana ya serikali kuja na hii BIG RESULT NOW coz inagusa yale maeneo sensitive ili ku enforce hizi policies ziweze kuwa implemented.
Moja ya maeneo ambayo BRN inayapa kipaumbele ni elimu ya watoto wetu so usifikiri mabadiliko ni kwenye madaraja ya ufaulu tuu bali hata kwenye kuboresha mazingira ya elimu nchini.
Hahahaaa, mkuu hilo la methodology usiwe na wasiwasi nalo. Lazma wewe utakuwa umefanya research/thesis una uelewa na methodology. Nakubaliana na wew japo hujasema kama methodology iliyotumika katika huu utafiti ni mbaya basi haya matokeo yake ni mabaya pia. Mimi ni muumini wa methodology. Hata wangekuja wakanionesha tu methodology nkaikubali nisingetaka kuona majibu nkiamini yatakuwa sahihi. Lakini ule ushirikishwaji wa wadau kutoka vyuo vikuu, NGOs, waalimu, baraza la mitihani na wanafunzi linatoa taswira kuwa wamejitahidi kuselect appropriate pipo.
Kuhusu kipaumbele chao cha kubadili madaraja ya ufaulu. Niseme hivi, sababu ya kutangaza haya mabadiliko ya madaraja ya ufauli ni kwa one reason, its a new thing, na lazma liwekwe wazi kw wananchi.
Kuhusu kuboresha mazingira ya elimu, maslahi ya waalimu, lipo kwene sera, limezungumzwa sana katika ilani ya chama tawala, limezungumzwa kwenye BIG RESULT NOW, na hata katika hotuba ya waziri (katk bunge la bajeti kalizungumzia sana) so hapakuwa na sababu ya kulizungumzia, halina upya however BRN inalitaja kama priority ya kuboresha elimu.
So kama ukisoma maoni ya kamati utakuta kilakitu mule, hili la madaraja ni kama wameli indorse kw wananchi so they had to do that.
Wanfunzi wamepewa wapige penati bila kipa golini.