Alama mgongoni kwa Benzema zazua taharuki

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,204
13,183
Hahaaa
Screenshot_20220322-092917.png
 
Hayo ni matibabu ya kutoa damu yenye sumu mwilini,kuna vifaa fulani unawekewa mgomgoni ambavyo hufyonza damu chafu,ni aina ya matibabu ya kienyeji ambayo yapo toka enzi ya karne za zamani,so hizo alama mgongoni ni alama za hivyo vifaa vinavyo fyonza damu chafu.
Nikweli kabisa
 
Back
Top Bottom