Nadhani watu wengi hawajadhani na kuona umuhimu wa jambo hili...
Kila siku inapoanza (hasa za kazi kwa sisi wafanyakazi) tuna masaa mengi ya kututenga na wapenzi wetu kwa zile shughuli na pilika za kutwa nzima....huwa ni kitu gani unafanya asubuhi wakati kila mmoja anapochukua njia yake kuelekea kwenye pilika za kutwa ili kuendelea kuweka uzito na hamu ya kukutana tena jioni mara baada ya saa za kazi?
Tupe uzoefu wako hapa na namna ulivyoona inavyofanya kazi kwenye kuweka ile hali ya "kutamaniana" in such a point it is hard to wait till you meet again later evening...
Kwanza niseme wazi kuwa "Nyota njema huonekana asubuhi"...unavyoanza siku kwenye penzi lako kunaamua litakavyokuwa siku nzima...
Asubuhi muda mchache kabla hatujaachana kila mtu njia yake ya kazi huwa nafurahia kusimama "farewell area" ambayo tumejiwekea nyumbani kwetu nikimkumbatia na kumtakia kazi njema na siku njema then i kiss and let her go.......I also make a promise ya surprise yoyte itakayomweka kutwa nzima kuwaza (sio lazima kiwe kitu chenye kutumia fedha) japo najua ni nini nitakachokifanya.....always makes her want more from me and on the other side she is not short of surprizes kwangu na hii inafanya kila mara tuitamani sana jioni kwa kuwa tunajua kutakuwa na kitu fulani kipya....
Note: Ni muhimu kuwa mbunifu ili kuhakiisha hakuna "uyebo yebo" utakaokinaisha.....si unajua tena nafsi nayo ina njaa na inataka kushibishwa jamani......lol
ucku ni muda wako mzuri kumfanya kesho akukumbuke nakutamani kukuona tena
na kikubwa ni upendo wa kweli coz alama haina umuhmu watu wengi wanaibiwa na hawajui.