NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
Nadhani watu wengi hawajadhani na kuona umuhimu wa jambo hili...
Kila siku inapoanza (hasa za kazi kwa sisi wafanyakazi) tuna masaa mengi ya kututenga na wapenzi wetu kwa zile shughuli na pilika za kutwa nzima....huwa ni kitu gani unafanya asubuhi wakati kila mmoja anapochukua njia yake kuelekea kwenye pilika za kutwa ili kuendelea kuweka uzito na hamu ya kukutana tena jioni mara baada ya saa za kazi?
Tupe uzoefu wako hapa na namna ulivyoona inavyofanya kazi kwenye kuweka ile hali ya "kutamaniana" in such a point it is hard to wait till you meet again later evening...
Karibuni