Alalama mkewe kutongozwa ofisini

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,339
Reaction score
5,662
Wakuu suura....

Nina jamaa yangu kanipa kisa cha mkewe ambaye ni mfanyakazi wa shirika fulani, jamaa anadai mkewe kamwambia mfanyakazi mwenzie ambaye wanaheshimiana sana na wamekuwa pamoja ofisini miaka kadhaa kabla hata hajaolewa na jamaa yangu kwamba kaomba mzigo.

Jamaa yangu analalama mbona yule jamaa anafanya hivyo kuomba k kwa mkewe imekuaje! Binafsi nimemwambia hakika kuna mazoea makubwa yamekuwepo wakati huu tofauti na kipindi cha nyuma na huenda hayo mazoea ndiyo yamemshawishi jamaa kuomba mzigo ukizingatia jamaa yangu ye anafanyia kazi mkoa tofauti yaani ye yupo Geita.

Mkewe na family wapo Mwanza but jamaa yangu anakuwepo sana Mwanza mara kwa mara so nimemwambia ambane mkewe aseme imekuajekuaje wakati huu ndio aombwe mzigo lazima kuna namna ya ukaribu wny hisia za kmapenz na huwenda at last ataliwa tu maana wapo ofisi moja. Je, wakuu mnasemaje hapo au shemeji ameshaliwa kaja shtaki kama geresha tu.
 
Nasisitiza tena, MWANAMKE ATAACHA KUTONGOZWA SIKU AKIFA. Na hata akifa, kama bado yupo mochware, kuna WAMBA wanaweza pita naye bila wasiwasi..!! Duniani hili lipo..!!

Kula chuma hiki hapa chini;

 
Mwambie aweke mtego. Amwambie mkewe amkubalie na kupanga sehemu ya kukutana (ikiwa chumbani kwa jamaa mwenye mke ni vizuri sana). Amwambie mkewe amlaghai jamaa, akishaingia chumbani avue nguo zote, halafu huyo mwanamke atoke nazo baru nje huku jamaa na kikosi chake wakiingia kwa kasi kabisa na kumuweka chini ya ulinzi jamaa na kumpiga picha na video, halafu akupe wewe uete hapa jamvini.
 
Siku zote kama mwanaume rijali usifanye huu mchezo.
Utaishia jela na mkeo atabaki mtaani ataliwa hata na jamaa mwingine.
Cha msingi weka sheria zako ili mwanamke aone kutoa mzigo ni kosa la jinai. Mimi siwezi kuhangaika na mwanamke, mwanamke akiamua kutoa mzigo anatoa tu
 
Huu ni upuuzi,huyo mke ni mwanafunzi wa primary au secondary school hadi afanye yote haya,?

Kwanza mwanamke ni mjinga,mke anayetambua humalizana na watongozaji wake huko huko,lakini pia huyo mke wa jamaa yawezekana kashaliwa na hivyo anaweka mazingira sawa ikitokea sms zimefumwa aseme si nilikuambia kuwa ananitongoza
 
Yoooote haya uliyoandika yaonyesha kuwa wewe una tabia ya kutongoza wake za watu. Wewe una rafiki yako na unajua huyu ni mke wa rafiki yangu halafu bado unaenda kumtongoza, halafu unataka akukatalie tu bila kuchukuwa hatua! Walai ukikutana na mwanamke mwenye akili ni lazima uliwe kiboga kwanza ili ushike heshima kwa wake wa marafiki zako.
 
Utaishia jela kama wewe ni mbumbumbu. Mimi nakuleta mateja wanakukula kiboga na hufanyi chochote. Sana sana ni wewe utaishia jela kwa kosa la kujaribu kumbaka mke wa mtu. Unadhani haya mambo nitafanya ki-fala fala?
 


Awe na ushahidi am face kiume, Mimi Mke wangu, awe na ushahidi na mtu wa karibu anamtongoza akijua ni mke wangu, Mbona kwangu ni fursa ya kumzalilisha.

Na ninajua kuzalilisha kweli, nafikiri napaswa kupewa Doctorate ya heshima, nitamtoa nguo vibaya:

1. Nitaenda lalamika oficin na ushahidi.

2. Nitaenda kwa Mke wake bila haya.

3. Nitaenda kwa viongozi wake wa dini.

4. Nitamtengenezea kesi ya sexual harassment

Hawezi rudia tena, ila kama mke anashoboka mwenyewe, wala sitamsumbua jamaa wa watu.
 
Ndo mimi huyo anyeongelewa hapa😎😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…