Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

Labda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
Inawezekana pia
Au uzembe wa receptionist kwa kuacha bill inafika millions
Lakini usemacho kinawezekana A loyal customer
 
Labda alikua mteja wao loyal. Mtu mwenye hela zake anadaiwa siku ya kucheck out! Unagiza tu mazaga wanaweka bill kwenye room yako mpaka siku unasepa ndo unalipa siyo lazima kila ukiagiza msosi au kinywaji ulipie hapo hapo
Huu ndio ukweli mkuu huyu jamaa ni rafki yangu sana miaka kama 19 hv ila kilichotokea cha ajabu sana ila atashinda hii kesi
 
Daa naona huo utaratibu watabadili ingawa wengi wanakuuliza kama utakuwepo next day halafu wanakupa bill zako kadri siku zinavyokwenda
Ila mpaka kufika hela zote hizo basi wengi watapigwa sana
Hapana pana vitu vimefichwa hapo mkuu hotel zote tena za hadhi hiyo uki book kama haujalipia siku kadhaa kabla ya kufika hapo wanafuta na room inakuwa wazi ila zipo zile za kulipia emergency na gharama yake inakua kubwa kidogo tofauti na ile unayoiona mtandaoni.

Pana vitu havipo sawa ndio maana imetokea hivyo... kwa makampuni mnaweza mkakubaliana na hotel ukawa unaenda kulipa kila baada ya mwezi mmoja au miwili unapeleka wageni tu inategemeana na makubaliano yenu ila sio mgeni mmoja utoke zako huko nyumbani eti utaenda kulala Serena bila kulipia Bill watakupa ukitoka daah hizo ni Camp Lodge labda..
 
Hapana pana vitu vimefichwa hapo mkuu hotel zote tena za hadhi hiyo uki book kama haujalipia siku kadhaa kabla ya kufika hapo wanafuta na room inakuwa wazi ila zipo zile za kulipia emergency na gharama yake inakua kubwa kidogo tofauti na ile unayoiona mtandaoni pana vitu havipo sawa ndio maana imetokea hivyo...kwa makampuni mnaweza mkakubaliana na hotel ukawa unaenda kulipa kila baada ya mwezi mmoja au miwili unapeleka wageni tu inategemeana na makubaliano yenu ila sio mgeni mmoja utoke zako huko nyumbani eti utaenda kulala Serena bila kulipia Bill watakupa ukitoka daah hizo ni Camp Lodge labda..
Mkuu sikuweza kubisha maana unaona watu wanabuni tu
Wengine sidhani kama wamelala hotel kubwa ila nazijua vizuri
Nimelala mpaka Radisson Blu au za hadhi kama hiyo lakini unalipa jinsi unavyolala

Unaweza ukawa na point pia ndio maana kuna mdau kasema labda ni mteja wq hapo kwa mda
Lakini mpaka kufika millions bado anaangaliwa tu

Sasa kama yeye kajiachia hivyo na ni wangapi wako loyal pia wanaachiwa pia si hotel itafilisika sasa

Hata Hotel zingine unaweza ukalala umelipia ila ukasema nitakuwepo kwa siku 3 zingine lakini siku ya pili ukaulizwa na mhudumu mwingine kuwa kuna hela uandaiwa

Na hivyo ndio ninavyojua ila nyumbani huko kama ni tofauti labda
 
Hizi kesi zinakua hivi Mtanzania anaaminishwa na jamaa wa kutoka Nje wachukue Hotel wanakuja kundi hasa hawa majirani zetu wa EA harafu wakishafanya mambo yao wao wanaweza kukimbia na kumuacha jamaa hawajamlipa na deni juu na yeye aliingia kwenye deal alitegemea chochote anakuja kukutana na deni ndio life ya Watafutaji hiyo...ila hakuna mtu atatoka home akalale hotel hana hata mia na aagize vitu na chumba apewe hakuna...
 
Mkuu sikuweza kubisha maana unaona watu wanabuni tu
Wengine sidhani kama wamelala hotel kubwa ila nazijua vizuri
Nimelala mpaka Radisson Blu au za hadhi kama hiyo lakini unalipa jinsi unavyolala

Unaweza ukawa na point pia ndio maana kuna mdau kasema labda ni mteja wq hapo kwa mda
Lakini mpaka kufika millions bado anaangaliwa tu

Sasa kama yeye kajiachia hivyo na ni wangapi wako loyal pia wanaachiwa pia si hotel itafilisika sasa

Hata Hotel zingine unaweza ukalala umelipia ila ukasema nitakuwepo kwa siku 3 zingine lakini siku ya pili ukaulizwa na mhudumu mwingine kuwa kuna hela uandaiwa

Na hivyo ndio ninavyojua ila nyumbani huko kama ni tofauti labda
Pana vitu havipo wazi kwenye hii kesi mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom