Yule RC huenda aliwekwa strategicallyMkuu
Huu ujinga
Ulishamiri Sana enzi za jk
Wakati wa jpm
Sikuuona
Sasa naona KWA Huyu Mama
Huu ni Mpango maalumu wa wanaoitwa wawekezaji
TUSUBIRI!!
Alikuwa wapi huyo mungu wakati waAfrika mamilioni kwa mamilioni wakiuzwa utumwani kwenye mateso makali kwa mamia na mamia ya miaka? Tupambane tu kiuhalisia , na si kusubiri miujiza.Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu.
Wewe mtu unayepanga na kuchoma moto either kwa kutaka kufurahisha watu na kuonyesha unaweza kwa kuumiza maelfu ya familia naomba kutangaza hutochoma tena masoko...
Hayo maeneo ni prime investment areas, watu wanayataka kwa nguvu, wanashangaa nyinyi mnavyokomaa kupanga nyanya kwenye maeneo kama hayoMkuu
Huu ujinga
Ulishamiri Sana enzi za jk
Wakati wa jpm
Sikuuona
Sasa naona KWA Huyu Mama
Huu ni Mpango maalumu wa wanaoitwa wawekezaji
TUSUBIRI!!
Una shida sehemu,wakati wa magu shule za waislam zimeungua Sana..Kuna mtu anaonesha umwambaMkuu
Huu ujinga
Ulishamiri Sana enzi za jk
Wakati wa jpm
Sikuuona
Sasa naona KWA Huyu Mama
Huu ni Mpango maalumu wa wanaoitwa wawekezaji
TUSUBIRI!!
Na wachina shule za waislam ni akina Nani!?Wanaechoma masoko ni wale wanuaika baada ya zoezi hilo. Wapo kila karibu na soko husika, mnashindwa vipi kuwaelewa.
kwahyo anaayechoma shule za kiislam ndiyo anayechoma masoko?Una shida sehemu,wakati wa magu shule za waislam zimeungua Sana..Kuna mtu anaonesha umwamba
We hupati picha!!!..na hapa Kati alichoma shule si za kiislam,kahamia kwenye masokokwahyo anaayechoma shule za kiislam ndiyo anayechoma masoko?
Wanufaika na zoezi hilo, IQ yako itumie vizuri. Kwani hakuna tenda ya ujenzi hapo itakuja? Haya wanafunzi wenye chuki na walimu, wasiopenda masomo, hawajajiandaa kufanya mitihani wakitekeleza jambo lao hawatafaidika? japo hasara yake kubwa kwao wanaangalia kafaida upande wao.Na wachina shule za waislam ni akina Nani!?
Nini kinakufanya uwahusianishe?We hupati picha!!!..na hapa Kati alichoma shule si za kiislam,kahamia kwenye masoko
Kumbe ujuwi kuwa kuna Mungu.Life is not fair
Hakuna usawa ndugu....
Find alternative kama ww ni muhanga wa moto.
Ukisubiria mungu akulipie, i swear utasubiri sana.
Hujuwi Wazungu wanalipa price na hii misaada nikama kuomba radhi.....Alikuwa wapi huyo mungu wakati waAfrika mamilioni kwa mamilioni wakiuzwa utumwani kwenye mateso makali kwa mamia na mamia ya miaka? Tupambane tu kiuhalisia , na si kusubiri miujiza.