Nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.You missed the point.
Nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss
mbona povu linakutoka hvyo?
nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
Ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
Ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss
Nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss
If this is the work for the MP (kushuka na kuongoza gari lake lililokwama), It is nonsense to have them,The point is, this is the work he is supposed to do and not the otherwise.
Sitokwi na povu lolote ila nachangia ukweli, siwezi kushabikia ujinga kama huu. Embu acha kuwa kuwadi na wewe. Na wewe unakuwa kama wale watu ambao marehemu Prof Chachage anawaita makuwadi wa soko huria.mbona povu linakutoka hvyo?
Poa bro, lazima jamaa atakuwa mpiga debe hapo stand au deiwaka wake kwenye viwanda vyake, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuposti ujinga kama wake.Shame on heracha tu mwana huwezi jua labda jamaa ni mpiga debe pale stand msamvu